Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Dah! We umezaliwa mwaka gani!? Hijui kuwa hizi ni fasheni tu, huja na kupita, sasa ungeshuhudia enzi ya kuvaa tinabuu (dingrizi za kubana) na mashati yale ya kubana (mashati ya kunguru) ungesema nini?
Mkuu baeleze bakusikie.
Jamani tusiwe wepesi kujudge vitu visivyo. Kama una wadogo zako wa kiume aged between 16-26 hivi unaweza elewa. Ni style wanayopendelea sasa hivi, wao wanaita tight jeans. So let them be. Zikiwachosha watavaa suti na suruali pana kama shuka za mashine za kusaga.
Wadau,
Napenda kuuliza swali maana naamini hapa JF ni darasa fulani.
Swali nauliza: Mwanaume anapovaa nguo za kubana inaashiria nini?
Dah! We umezaliwa mwaka gani!? Hijui kuwa hizi ni fasheni tu, huja na kupita, sasa ungeshuhudia enzi ya kuvaa tinabuu (dingrizi za kubana) na mashati yale ya kubana (mashati ya kunguru) ungesema nini?
Style my foot!
Style my foot!
mi sina tatizo sana na hizo nguo, tatizo langu lipo kwa hao wakina dada, yaani wameshikwa sehemu zao za nyuma na huyo mwenye kuvaa vya kubana na wametulia tu as if wameshikwa na mwenzao
Wadau,
Napenda kuuliza swali maana naamini hapa JF ni darasa fulani.
Swali nauliza: Mwanaume anapovaa nguo za kubana inaashiria nini?