The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,082
orait orait!!! :smile-big::smile-big::smile-big: na hiyo avatar yako inamaanisha nini??? ha ha ha ha!!!:doh:
HA HA HA Jamaa anataka kufanya push-up ila naona bibie anamkataza
orait orait!!! :smile-big::smile-big::smile-big: na hiyo avatar yako inamaanisha nini??? ha ha ha ha!!!:doh:
Nilikuwa msomaji na mpenzi mkubwa wa gazeti la Jitambue ambalo kwa muda mrefu sasa halipatikani mtaani.Katika gazeti hilo mambo mengi kuhusu saikolojia yalizungumzwa na kutolewa ufafanuzi.Moja ya jambo ambalo liliwahi kuniacha hoi katika moja ya makala ya gazeti hilo,ni ile iliyokuwa inazungumzia kuhusu wanaume kuingia kwenye mzunguko wa hedhi kama walivyo wanawake.Gazeti hilo lilitaja baadhi ya dalili za kumgundua mwanaume kuwa yuko katika siku zake ni pale anapokuwa na hasira kupita kiasi au anaonekana kubadilika kabisa tofauti na tabia yake halisi.
Wenzangu imekaaje hii?!
...Nadhani na mmiliki wa hilo gazeti Munga Tehenani alishakufa...Kuna baadhi ya habari kwenye hilo gazeti hata mimi zilikuwa zinanishangaza kama kweli ni tafiti za kisayansi au ni uchakachuaji tu...MOjawapo ndio hiyo ya mwanaume kuingia mwezini (sijui walikuwa wakielewa walichokuwa wanaandika??):tape::nono:kwa namna zote, hakuna kitu kama hicho........nafikiri ndio maana gazeti hilo halitoki tena kama story zenyewe ndio kama hizo.
...Nadhani na mmiliki wa hilo gazeti Munga Tehenani alishakufa...Kuna baadhi ya habari kwenye hilo gazeti hata mimi zilikuwa zinanishangaza kama kweli ni tafiti za kisayansi au ni uchakachuaji tu...MOjawapo ndio hiyo ya mwanaume kuingia mwezini (sijui walikuwa wakielewa walichokuwa wanaandika??):tape::nono:
NAHISI UPINZANI UNTOKANA NA MANENO YALOTUMIKA' MAZUNGUKOWA HEDHI...MWEZINI...' YANASABABISHA VDUME VIJAE UPEPO...LAKINI NAHIC KUNA UKWELI FLANI HAPO!!:smile-big:
Gazeti lile lilikuwa linamilikiwa na Munga Tehnan (RIP) baada ya kufariki ndio maana halionekani tena.....mi nadhani kuna ukweli......teh teh teh