Mwanaume mwenzangu ishi hivi na wanawake

Wengi ninaowajua waliooa tabia, mwisho wa siku lazima awe na kamchepuko kazuri pembeni ka kupunguzia machungu..! Na ndio hao hua wanakuja kuomba ushauri hapa kwamba akiwa na mkewe goli moja chali wakati kwa mchepuko anapiga 4 😆😆
Daaaah aya mambo ya mapenz bna cyo poa
 
Kila kukicha kumekuwa na matukio tofauti tofauti wengine wanauana wanatuongezea mzigo wa tozo [emoji16]na wengine wanapeana vilema vya maisha kisa tu wivu wa mapenzi!

Mwanaume kamili inabidi ujiandae kisaikologia kuishi na Mwanamke ile usije ukaleta maafa baadae!inabidi ujue haya.

1:Kosa namba moja katika maisha usije ukawekeza kila kitu kwenye maisha ya Mwanamke either muda ama pesa jifunze kuwa na kiasi!
2:Usije ukajitoa ufahamu eti kwamba ni wako peke yako hiyo kitu hakuna hata kama umemkuta bikra
3:Wekeza sana muda wako kutafuta pesa na kufanya vitu unavyopenda tofauti kabisa na kuweka furaha yako kwa Mwanamke!
4:Weka akili kwamba ipo siku yeyote atakuacha aende zake kama alivyowaacha wengine na kuja kwako !
5:Mwambie Mwanamke ukweli kwa asilimia 25 kati ya 100 ambao hautakuletea madhara baadae!
Kwa leo ni hayo tu wengine watajazia nyama!
Time Will tell
 
Hizo akili tunaweza wachache na zina gharama zake za kulipa pia.
 
Tatizo linaanza kwenye hofu ya mungu.
 
Ndoa inataka usiwe na akili uwe kama zuzu fulani, ila kama una akili huwezi kaa kwenye ndoa especially ndoa za kisasa
Hiii fact naikubali mnoo na hii ndo huplay kwa wife 😂😂 mpk mda mwengin utaskia analalamika nakunambia ati simpendi daaah wanawake bhn wana drama sanaa 😂
 
Mpaka sasa Kuna point 200000 kuhusiana na kuish na wanawake mtafika mbinguni mmechoka sana
 
Back
Top Bottom