Mwanaume mwenzangu ishi hivi na wanawake

Nafasi yake mchina na mturuki wameigundua na wamefanya faida kwao
Shida ni hapo kwenye tabia

Sema tabia nayo bila t@ko bana daah... mi nadhani angalau vitu vinatakiwa vi balance kidogo. Tabia 60% t@ko 40% 😀
 
Hivi huwa lina kazi gani😃😃? Maana wanaume wanapishana na wanawake wa kufika nao kwenye mafanikio makubwa sababu ya kutafuta t@ko😆😆😆
 
Kila kukicha kumekuwa na matukio tofauti tofauti wengine wanauana wanatuongezea mzigo wa tozo [emoji16]na wengine wanapeana vilema vya maisha kisa tu wivu wa mapenzi!

Mwanaume kamili inabidi ujiandae kisaikologia kuishi na Mwanamke ile usije ukaleta maafa baadae!inabidi ujue haya.

1:Kosa namba moja katika maisha usije ukawekeza kila kitu kwenye maisha ya Mwanamke either muda ama pesa jifunze kuwa na kiasi!
2:Usije ukajitoa ufahamu eti kwamba ni wako peke yako hiyo kitu hakuna hata kama umemkuta bikra
3:Wekeza sana muda wako kutafuta pesa na kufanya vitu unavyopenda tofauti kabisa na kuweka furaha yako kwa Mwanamke!
4:Weka akili kwamba ipo siku yeyote atakuacha aende zake kama alivyowaacha wengine na kuja kwako !
5:Mwambie Mwanamke ukweli kwa asilimia 25 kati ya 100 ambao hautakuletea madhara baadae!
Kwa leo ni hayo tu wengine watajazia nyama!
Ishi na mwanamke kwa kadri ya miongozo ya dini inavotaka na mahitaji ya muumba amesemaje?
 
Hivi huwa lina kazi gani😃😃?
Maana wanaume wanapishana na wanawake wa kufika nao kwenye mafanikio makubwa sababu ya kutafuta t@ko😆😆😆

Unajua Mama D twende mbele turudi nyuma, mwanamke kwa mwanaume ni kama pambo.. Mwanaume hua anavutiwa na MUONEKANO wa mwanamke hapa ikimaanisha uzuri wa sura, umbo (t@ko likiwemo) nk. Ndio maana mwanaume yuko radhi kua na mwanamke mrembo hata kama anajua kabisa mwanamke huyo ana tabia mbovu, kuliko kua na mwanamke mbovu hata kama ana tabia nzuri. Pale chumbani kinachomsisimua mwanaume sio tabia nzuri...
 
ndo Maisha yangu hayo mwanamke niko nae ila najua saa yoyote, muda wowote anaweza kuniacha kwa maana hiyo niko na tahadhali ya hatari
 
Unajua Mama D twende mbele turudi nyuma, mwanamke kwa mwanaume ni kama pambo.. Mwanaume hua anavutiwa na MUONEKANO wa mwanamke hapa ikimaanisha uzuri wa sura, umbo (t@ko likiwemo) nk. Ndio maana mwanaume yuko radhi kua na mwanamke mrembo hata kama anajua kabisa mwanamke huyo ana tabia mbovu, kuliko kua na mwanamke mbovu hata kama ana tabia nzuri. Pale chumbani kinachomsisimua mwanaume sio tabia nzuri...
Sisi wanaume tumewekewa tamaa Kwa njia ya kuona , thus why wanawake wamewekewa mvuto fulan wa kimuonekano ili mwanaume asisimke , mwanamke kuwa na Tabia njema alaf Sura mbovu au muonekano mbovu ni shida Sana aisee , kwenye biblia Yakobo alimpenda Raheli sababu alikuwa na Sura nzuri na umbo la kuvutia japo rahel alikuwa mambo mengi , dada yake Rebecca alikuwa chenga kimuonekano Ila kitabia yupo vizur .... Ila mwamba alikomaa ampate rahel
 
Hivi huwa lina kazi gani😃😃? Maana wanaume wanapishana na wanawake wa kufika nao kwenye mafanikio makubwa sababu ya kutafuta t@ko😆😆😆
mama D , ashakhum si matusi, hivi ushawahi kua umelala kitandani af unaangalia msambwanda unapita kwenda bafuni kuoga? Jus knw kwa mwanaume, traqo la mdada ni nyenzo muhim sanaaa. Watakuja hapa waseme ooh, mi napenda flat screen, oh halina umuhim, lakn kisirisiri akipita manzi amefungasha kifurushi vizuri, lazma shingo zicheze
 
Siku hizi kila mtu ni mshauri wa jinsi ya kusihi na mwanamke , huyu anashaur hvi huyu naye anasema hvi , kilichopo ni kuishi na mwanamke Kwa vile unavyoona vyema ..., Akikushinda unapiga chini unaendelea na maisha mengine
Umeiweka vizuri sana mkuu
 
Unajua Mama D twende mbele turudi nyuma, mwanamke kwa mwanaume ni kama pambo.. Mwanaume hua anavutiwa na MUONEKANO wa mwanamke hapa ikimaanisha uzuri wa sura, umbo (t@ko likiwemo) nk. Ndio maana mwanaume yuko radhi kua na mwanamke mrembo hata kama anajua kabisa mwanamke huyo ana tabia mbovu, kuliko kua na mwanamke mbovu hata kama ana tabia nzuri. Pale chumbani kinachomsisimua mwanaume sio tabia nzuri...

😂😂😂😂😂😂
 
mama D , ashakhum si matusi, hivi ushawahi kua umelala kitandani af unaangalia msambwanda unapita kwenda bafuni kuoga? Jus knw kwa mwanaume, traqo la mdada ni nyenzo muhim sanaaa. Watakuja hapa waseme ooh, mi napenda flat screen, oh halina umuhim, lakn kisirisiri akipita manzi amefungasha kifurushi vizuri, lazma shingo zicheze

Wanaume nyieeee🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Mwanaume ukiingia kwenye ndoa, usiwe na mawazo ya tunasaidiana maisha Hilo wazo futa kwa Jina la Yesu, endelea na mipango yako ya kimaisha hata kabla ya kuoa, mke yeye ni msaidizi sio umeoa ndio mnakaa mpange maisha hapo unakuwa umefel
 
Point ya kibabe sana!wakina marioo hawataelewa
 
Kila kukicha kumekuwa na matukio tofauti tofauti wengine wanauana wanatuongezea mzigo wa tozo [emoji16]na wengine wanapeana vilema vya maisha kisa tu wivu wa mapenzi!

Mwanaume kamili inabidi ujiandae kisaikologia kuishi na Mwanamke ile usije ukaleta maafa baadae!inabidi ujue haya.

1:Kosa namba moja katika maisha usije ukawekeza kila kitu kwenye maisha ya Mwanamke either muda ama pesa jifunze kuwa na kiasi!
2:Usije ukajitoa ufahamu eti kwamba ni wako peke yako hiyo kitu hakuna hata kama umemkuta bikra
3:Wekeza sana muda wako kutafuta pesa na kufanya vitu unavyopenda tofauti kabisa na kuweka furaha yako kwa Mwanamke!
4:Weka akili kwamba ipo siku yeyote atakuacha aende zake kama alivyowaacha wengine na kuja kwako !
5:Mwambie Mwanamke ukweli kwa asilimia 25 kati ya 100 ambao hautakuletea madhara baadae!
Kwa leo ni hayo tu wengine watajazia nyama!
images.jpeg-3.jpg
 
mama D , ashakhum si matusi, hivi ushawahi kua umelala kitandani af unaangalia msambwanda unapita kwenda bafuni kuoga? Jus knw kwa mwanaume, traqo la mdada ni nyenzo muhim sanaaa. Watakuja hapa waseme ooh, mi napenda flat screen, oh halina umuhim, lakn kisirisiri akipita manzi amefungasha kifurushi vizuri, lazma shingo zicheze

Wengi ninaowajua waliooa tabia, mwisho wa siku lazima awe na kamchepuko kazuri pembeni ka kupunguzia machungu..! Na ndio hao hua wanakuja kuomba ushauri hapa kwamba akiwa na mkewe goli moja chali wakati kwa mchepuko anapiga 4 😆😆
 
Back
Top Bottom