Mwanaume mwenzangu, huu ndio wakati mgumu sana. Xmas iahirishwe

Mwanaume mwenzangu, huu ndio wakati mgumu sana. Xmas iahirishwe

Mzee uko aloof, si mtu ya watu!!
Ukiwa mtu wa watu maana yake hautakiwi kuwa na standards and boundaries?

Mimi nimeshajiwekea sheria kwamba sitaki mazoea na broke women. Sababu najua ni aina ya wanawake ambao hawawezi kunisaidia chochote kimawazo, wataniweka tu kwenye circle yao ili wapate fursa ya kuomba hela au kuniuzia ngono
 
Mkuu jiwekee mageti marefu, ila ujue zaidi ya 99% ya watu, hasa wanawake hawana boundaries kama zako.
 
Mkuu jiwekee mageti marefu, ila ujue zaidi ya 99% ya watu, hasa wanawake hawana boundaries kama zako.
Circle yako ina mchango mkubwa sana katika kuamua uelekeo wa maisha yako. Kama watu wengine hawana boundaries basi hayo maisha yao sio yangu. Siwezi kutengeneza ukaribu na hao wakina dada ombaomba wasiokua hata na aibu eti nionekane mtu wa watu
 
Kosa ni la kwako kutengeneza circle kubwa na wanawake masikini wenye tamaa ya kuishi beyond their means.

Mimi wanawake ambao hata wana namba yangu ni ndugu zangu na washiriki wangu wa kikazi na biashara.

Infact hata wanawake wa mtaani na maeneo mengine nanapokutana nao hawana uhuru wa kuniletea mazoea ya kipumbavu. Standards na boundaries nilizojiwekea ni ngumu sana kwa vikina dada vya hovyo kunisogelea. Wataishia tu kuulizia habari zangu kwa watu lakini kuni-face mimi mwenyewe hawawezi
Mwanangu hujashusha uzi siku nyingi wa kutukumbusha vijana
 
Unakuta hao ni wafanyakazi wenzio ,mko level sawa ila wanataka wao wapewa huduma .. Wanawake wabinafsi san.
Walivyoenda beijing kudai haki sawa hawakuwaza kwamba haki sawa itakuja na wajibu sawa.

Ukiwa na ajira automatically unaondolewa kwenye kundi la watu tegemezi. Utawajibika kujihudumia mahitaji yako. Sasa wenzetu ajira wanataka na kuhudumiwa wanataka. Hawapo tayari kuachia kimoja
 
Ni kweli kabisa.
Sasa kesho Xmas, maombi ya hela na zawadi ni kibao!
 
Back
Top Bottom