Mwanaume mwenzangu, huu ndio wakati mgumu sana. Xmas iahirishwe

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
17,547
Reaction score
28,493
Mwanaume yeyeote atanielewa!
Nimepigiwa simu na Jane, samsing yangu ya siku nyingi sana.

Ananisalimia tu na kuuliza Xmas nina mpango gani.

Sijakaa sawa Mwajuma naye kanitumia messeji, eti ana nimisso!
Wiki iliyopita Blandina alinielleza wai wazi kuwa Xmas anategemea zawadi ya simu mpya.

Mamsapu yeye aliniambia hana makuu, gauni jipya tu linamtosha sikukuu hii.

Asubuhi hii nimepigiwa simu na Salome, yeye anauliza tu umepona? maana ulisema ulikuwa unaumwa(ilikuwa kukwepa majukumu!)
Watoto ndo hao, tayari hela niliyokopa nimewanunulia nguo.
Haya majukumu mengine sijui nani nikamkope....!

Jamani uanaume wakati wa sikukuu ni shida sana.

Heri Chrismassi iahirishwe!!
 
Kuna zile shida ambazo huwa ni out of your controll (hizi huwa sizijaji kabisa) mfano ajali, kilema, majanga n.k

Ila kuna zile shida zinazotokana na akili kama maamuzi mabovu, uvivu, tamaa, na kukosa nidhamu.
Hapa kulalamika ni kupoteza pumzi tu.
Ulipanda, sasa vuna.
Beba mizigo yako kimya kimya.
 
Mwanaume yeyeote atanielewa!
Nimepigiwa simu na Jane, samsing yangu ya siku nyingi sana
Ananisalimia tu na kuuliza Xmas nina mpango gani.
Sijakaa sawa Mwajuma naye kanitumia messeji, eti ana nimisso!
Wiki iliyopita Blandina alinielleza wai wazi kuwa Xmas anategemea zawadi ya simu mpya!
Mamsapu yeye aliniambia hana makuu, gauni jipya tu linamtosha sikukuu hii!
Asubuhi hii nimepigiwa simu na Salome, yeye anauliza tu umepona? maana ulisema ulikuwa unaumwa(ilikuwa kukwepa majukumu!)
Watoto ndo hao, tayari hela niliyokopa nimewanunulia nguo.
Haya majukumu mengine sijui nani nikamkope....!

Jamani uanaume wakati wa sikukuu ni shida sana.
Heri Chrismassi iahirishwe!!
Waalike wote pamoja uwapige fivesomes mkuu
 
Kaka umeoa Na bado unawapenz nje ya ndoa, lazima ufirisike msimu huu wa holidays
 
Mwanaume yeyeote atanielewa!
Nimepigiwa simu na Jane, samsing yangu ya siku nyingi sana.

Ananisalimia tu na kuuliza Xmas nina mpango gani.

Sijakaa sawa Mwajuma naye kanitumia messeji, eti ana nimisso!
Wiki iliyopita Blandina alinielleza wai wazi kuwa Xmas anategemea zawadi ya simu mpya.

Mamsapu yeye aliniambia hana makuu, gauni jipya tu linamtosha sikukuu hii.

Asubuhi hii nimepigiwa simu na Salome, yeye anauliza tu umepona? maana ulisema ulikuwa unaumwa(ilikuwa kukwepa majukumu!)
Watoto ndo hao, tayari hela niliyokopa nimewanunulia nguo.
Haya majukumu mengine sijui nani nikamkope....!

Jamani uanaume wakati wa sikukuu ni shida sana.

Heri Chrismassi iahirishwe!!
Kosa ni la kwako kutengeneza circle kubwa na wanawake masikini wenye tamaa ya kuishi beyond their means.

Mimi wanawake ambao hata wana namba yangu ni ndugu zangu na washiriki wangu wa kikazi na biashara.

Infact hata wanawake wa mtaani na maeneo mengine nanapokutana nao hawana uhuru wa kuniletea mazoea ya kipumbavu. Standards na boundaries nilizojiwekea ni ngumu sana kwa vikina dada vya hovyo kunisogelea. Wataishia tu kuulizia habari zangu kwa watu lakini kuni-face mimi mwenyewe hawawezi
 
Ndo maana nasubiria xmass na mwaka mpya zipite I can't have a woman right now 😅
 
Kosa ni la kwako kutengeneza circle kubwa na wanawake masikini wenye tamaa ya kuishi beyond their means.

Mimi wanawake ambao hata wana namba yangu ni ndugu zangu na washiriki wangu wa kikazi na biashara.

Infact hata wanawake wa mtaani na maeneo mengine nanapokutana nao hawana uhuru wa kuniletea mazoea ya kipumbavu. Standards na boundaries nilizojiwekea ni ngumu sana kwa vikina dada vya hovyo kunisogelea. Wataishia tu kuulizia habari zangu kwa watu lakini kuni-face mimi mwenyewe hawawezi
Mzee uko aloof, si mtu ya watu!!
 
Ni kweli lakini ukisha kua utaelewa wanawake wote wako sawa-commercial interests over sex.
Hilo nalijua siku nyingi. Financially mwanaume ananunua sex, lakini sasa ukilazimisha kwenda juu ya uwezo wako hapo ndipo unakua mjinga au simp. A woman can sense your desperation and use that as a leverage.
 
Back
Top Bottom