Mwanaume mwenye thamani

Mwanaume mwenye thamani

Jogoo10

Senior Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
100
Reaction score
11
Hamjambo wapendwa wote?

Mara nyingi nimepata kusikia eti mwanaume wa kwanza kwa mwanamke ndie mwenye thamani kwa mwanamke huyo.

Huwa hamtoki moyoni milele na siku yoyote kidume atakapo hitaji kukumbushia hupewa mchezo hata kama huyo bibie ana mume.

Wapendwa kuna ukweli juu ya hili?.
 
Unaamka asubuhi bila hata swala unaanza na ngono aisee wonders shall never end
 
wa kwanza anaweza kuwa mbakaji, au hakumpenda
sasa inawezekanaje akawa na thamani kwake
 
Heee makubwa aya! !!!!wakwanza wangu cjui kama ni mzima au alikufa
 
mbona unaweza kupenda binti hata ukiwa wa sita na asikusahau kamwe? Inategemea na mahusiano yenu yalikuwaje na ulikuwa na impact gani kwake hasa
 
Unaamka asubuhi bila hata swala unaanza na ngono aisee wonders shall never end

Ha ha ha ha ha ha
nafanya ibada saa 10 alfajiri ila nataka kuwacha ukapera but naogopa kumegewa. Japo kuna mtoto ana kizinda amenizimikia sana wala sijamtoboa lakin moyoni mwangu hayupo nimpendaye keshabikiriwa ndio mana nikaleta hii mada. Nipate mawazo yenu wapendwa.
 
Wasichana wengi wana bikiriwa na wavulana...wanakuja kukutana na wanaume Tayari hawana bikira...michezo ya utotoni..na,Wengine walio wabikiri ni mateja now...
 
Wasichana wengi wana bikiriwa na wavulana...wanakuja kukutana na wanaume Tayari hawana bikira...michezo ya utotoni..na,Wengine walio wabikiri ni mateja now...

Very True, au nao wameshakua wanaume sasa na wamepata wanawake wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom