Mwanaume mwenye thamani

Mwanaume mwenye thamani

Sio kweli kabisa kabisa,sema anakuweko mmoja hua hupindui hata ukijitia kichwa ngumu kua huna time nae lakini ndani ya moyo wako unajua huyu ndio alie nikuna moyo wangu.......... sio kwa ngono tuu ila mlitoka mbali sana kwenye safari yenu ya mapenzi na maisha ila sema ikawa sio rizki muwe pamoja............
 
Hamjambo wapendwa wote?

Mara nyingi nimepata kusikia eti mwanaume wa kwanza kwa mwanamke ndie mwenye thamani kwa mwanamke huyo.

Huwa hamtoki moyoni milele na siku yoyote kidume atakapo hitaji kukumbushia hupewa mchezo hata kama huyo bibie ana mume.

Wapendwa kuna ukweli juu ya hili?.

Kuna vitu vingine hutakaa uvielewe mpk uvae kiatu halisi cha uhusika. Hizo rumours tu wanaume wanazieneza ili wakazane kuwatoa bikra na kujidanganya hawatasahaulika!
 
Kuna vitu vingine hutakaa uvielewe mpk uvae kiatu halisi cha uhusika. Hizo rumours tu wanaume wanazieneza ili wakazane kuwatoa bikra na kujidanganya hawatasahaulika!

Kwa mfano wewe ni kipi hasa???
 
Sio kweli kabisaa, sioni cha kukumbuka kwani ukibikiriwa ni maumivu tupu, sijui unakumbuka maumivu au unakumbuka aliyeanza kukuingilia...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom