Nani wakunioa??? Na ulishanitia nuksi
Kabla sijawasilisha mada hii kwenu nilifanya utafiti wakina, niliwahoji akina dada na wamama na wabibi, asilimia 98 walisema ndio.
hahahha
mbona unaweza kupenda binti hata ukiwa wa sita na asikusahau kamwe? Inategemea na mahusiano yenu yalikuwaje na ulikuwa na impact gani kwake hasa
Natamani kumjua aliyekubikiri nimzawadie majogoo matatu.
Uko sahihi mkuu,kuna ----- nimezaa nae ckumbuki hata sura yake na ctaki hata kumuona.
mtoto je
Niko nae tunafanya yetu.
alishachukuliwa na mafuriko yale ya juzi kati lol
Mie nikishatapika siwezi tena kula matapishi
İtabidi nifanye mpango nikurudishie bikra yako. hebu twende pm chapchap sana.
ipo utaamuhitaji baba yake kwa ustawi wa mtoto
Nitamuelekeza aende sna tatizo juu ya hilo,as for now while kwanza....