Kwakweli ntamvumiliaUshauri mtamu huu
Ajitizame kama yeye anampenda tu
Asahau na kupuuza maneno yake pindi akifoka
Uzuri wa wanaume aina hii mara nyingi huwa na mapenzi ya kweli
Kitu kidogo anafoka weeee anakupa block unatulia unambembeleza akitulia unamwambia alipokosea mnasonga hivyo hivyo
Jamaa anampenda na ana wivu sana amvumilie tu
Akhaaaaa unazengua mkuu au ndo uchoyo , nkajua tayar ? ndo hujui kua umemisika nje na ndani?[emoji8][emoji8][emoji8]Okay ila safari bado
Sie washika pembee tu hahaha[emoji8][emoji7][emoji7][emoji13]Kwakweli ntamvumilia
Chafyaaaaaaa[emoji119][emoji8]Mauno feni