mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,125
- 58,847
Asante mama maana inabdi tu nipambane na hali yanguMchukulie hivyo, mchukulie ndio mapungufu yake hayo we akikublock hema, fanya mambo yako akifoka jitahidi usiyaweke rohoni, jaribu kupotezea japo vinakera usiache kusema nae sababu binadam hatujakamilika, mwisho wa siku ukiona moyo wako umechoka waweza kwenda zako
As long as moyo wako bado una nafasi yake we vumilia tu, kama unaona vinafaa kuvimilika, kama ni ndoa uvumilo tu kwa kweli kama sio ndoa unaweza kujiondoa muda wowote ukiona umeshindwa.Asante mama maana inabdi tu nipambane na hali yangu
Ndo hivyo.mkibembelezwa mnajisahau.mkiambiwa nakupenda ndo kabisaa.Duh makubwa.....
Hawajuag wanataka nn. Yaaan wapo wapo tuWanawake bana. Akipata jamaa mpole atasema huyu zuzu, akipata mkaksi atasema huyu ana gubu. Sijui mnatakaga nini isee.
Hahaha duh aisee we ni noma....Ndo hivyo.mkibembelezwa mnajisahau.mkiambiwa nakupenda ndo kabisaa.
Huyu mwenzako anaweza akanipigia simu nikamwambia usinisumbue Mimi napumzikaa.akajibu haya mume baadae.
Kuna muda ananitisha wenzio wananitafuta.
NAMJIBU SI UENDE UNASUBIRI NINI KWANGU?mwenyewe anakuwa mpole.
Sio kama simpendi.Bali sitaki kumuonyesha.
Mkuu me huwa c block watu hahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmhh kaazi kwelikweli ....je we Hublok watu???
Sema nn jifunze kuishi naye,huyo kila kitu anahisi kaonewa hahaha anaona km alikupata kwa bahat bahati .....
Pambana pambana ndo maisha hayo !!
Ushauri mzur ila mchunguMchukulie hivyo, mchukulie ndio mapungufu yake hayo we akikublock hema, fanya mambo yako akifoka jitahidi usiyaweke rohoni, jaribu kupotezea japo vinakera usiache kusema nae sababu binadam hatujakamilika, mwisho wa siku ukiona moyo wako umechoka waweza kwenda zako
Wewe mwanamke weeee kuna motoooo shauri yako ,endelea kudanganya tu[emoji23][emoji23]Mkuu me huwa c block watu hahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unatutisha MO11. Nitaogopa hata kukusalimiaGubu mtu anakuwa nalo tangu mdogo anavyozidi kukua nalo linakuwa
yaani najiuliza itakuwaje nikizeeka maana najijua nina gubu muda mwingine nafanya makusudi