Kwaio mkuu nizidishe mauno feni kwa bed....
Sasa na wewe una blokiwa tu unaendelea kukaa nako wakati wanaune kibao Tu/wapo singo.Bora we unajijua unaweza kulicontrol
Nani kakudanganya wanashida kibao?Mkuu ao single wenyew wanashida zao kibao sa ntaacha wangapi .....
Haya endelea kushindana na mwenye Gubu mwenzangu...Hahaha wa ivo mkuu wanaringa sanaaaa tena usiombe awe black afu mrefu weeee....utatamani dunia ikumeze