Babu DC bana, sasa kama mhusika haoni tatizo iweje watazamaji wasumbuke?Lizzy,
Huku kwetu siyo tu kwamba ni marufuku kwa mwanamume kuingia jikoni ila haiwezekani kabisa...Watu wanafanya hivyo tu pale wanapokuwa really single...Akianza tu kuishi na ndugu au mfanyakazi basi mambo yanaishia hapo.
Na kwa vile hao wanapika kwa muda, sioni kama kuna sababu ya kuwapa majina....Ila yule ambaye keshaoa halafu anang'ang'ania kuingia ingia jikoni siyo tu kupewa majina bali anastahili kuchapwa viboko kabisa!!
Babu DC!!
Babu DC bana, sasa kama mhusika haoni tatizo iweje watazamaji wasumbuke?
Mmmh what kinda stake are we talking about babu? Maana wengine utakuta hata hawamjui mhusika ila maneno ya kuambiwa wanayashupalia kama vile wanamjua.Lizzy,
Unajua mtu huwezi kuishi kama kisiwa...vinginevyo usiwe na majirani au ndugu. Halafu watazamaji wengine wana stake kwa huyo mhusika...Kwa nini wasiumie kuona mdau wao anaharibikiwa???
I got a question for you guys,
Katika mazingira yetu ya kibongo bongo bado hakikubaliki sana kwa mwanaume kuingia jikoni na kupika, haswa na wanaume wengine. Akifanya hivyo basi ataitwa majina kibao na yatasemwa mengi juu yake mf.mume bwége,kakaliwa, kalishwa limbwata, sio mwanaume kamili n.k.
Sasa swali langu ni kama hayo hapo juu yanamhusu mwanaume ambae anaishi na mwanamke , vipi yule asieishi na mwanamke(mpenzi/mke)?Pengine anaweza akawa anaishi na ndugu, dada wa kazi au hata mwenyewe.Huyu tumwite nani? Maana kama kukaliwa kakaliwa na nani?Limbwata kapewa na nani?Ubwége kavishwa na nani?Uanaume kavuliwa na nani?
Nadhani ni muda sasa tuanze kukubali wanayofanya wengine na kuwaacha wajihukumu wenyewe.Kama wewe hutaki/huwezi hamna haja ya kumwita anaefanya majina ya ajabu.Baki tu ukishangaa!!
ambaye anaingia jikoni akiwa hajaoa huitwa h.a.n.i.t.h.i, kwa nini haoi
hakuna exkuzi ya mwanamme kuingia jikoni
Mmmh what kinda stake are we talking about babu? Maana wengine utakuta hata hawamjui mhusika ila maneno ya kuambiwa wanayashupalia kama vile wanamjua.
hao wanaoishi wenyewe inabidi tuwaite wagumu
Hiyo wagumu ni positive au negative?
@Kongosho. . . Embu acha kukandia kaka zangu.Kwani kuingia jikoni dhambi?
Sasa chakusikitisha hapo ni kipi?Unajua hata jirani yako ana stake kwako na ndio maana ukipiga yowe ya kuomba msaada yeye ndiye wa kwanza kufika...
Kwa hiyo ukifanya kitu cha kusikitisha lazima kitamgusa tu.....!!
Biology ndio inayotuma watu kuoa na wanaume kutokupika?Ukiona unapingana na biology hakuna ugumu
ni imperfection tu
mengine yooote ni kujipa moyo
ni h.a.n.i.t.h.i tu
sijui ana miaka 35 hajaoa?
Usidhani mzima huyo
Hapo hujawatendea haki baadhi ya watu,
Hivi mtu anaweza kuoa immediately baada ya kutoka shule au???
Lizzy,
Huku kwetu siyo tu kwamba ni marufuku kwa mwanamume kuingia jikoni ila haiwezekani kabisa...Watu wanafanya hivyo tu pale wanapokuwa really single...Akianza tu kuishi na ndugu au mfanyakazi basi mambo yanaishia hapo.
Na kwa vile hao wanapika kwa muda, sioni kama kuna sababu ya kuwapa majina....Ila yule ambaye keshaoa halafu anang'ang'ania kuingia ingia jikoni siyo tu kupewa majina bali anastahili kuchapwa viboko kabisa!!
Babu DC!!