Mwanaume mchuchumio bwana, mtajibebaje

Zinduna huyu ni mwanamke mwenzio
 
Last edited by a moderator:
Hahahahha Mr Rocky huyu jamaa ndo zake anapenda kuvaa maviatu marefu hahahah tena kuna wimbo flani ivi AY alishirikishwa na mdada mmoja jina limenikota ni mnaigeria ambaye sasa hatunaye tena R.I.P na huyu jamaa yupo pia ni dancer kavaa maviatu yanavisigino virefu QUOTE=Mr Rocky;11064351]Zinduna aise unatupeleka siko bana hapo uonavyo kuna mwanaume kweli mbona mimi simuoni aise[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
[/QUOTE]

 
Zinduna kwa kweli hapo mi naona mchanga mchanga tuu sinaona mwanaume aise na huo mkao na vi/dole hivyo may be kabanga aniambie kama ameona mwanaume hapo
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah tena ndo haya haya kama sikosei
[/QUOTE]
 
 
Last edited by a moderator:
 
vidole na mdoma ameweka shape ya "shadr at el munya"
 
Huyu popo atakuwa kibaiskeli tu.

Mapopo hapo wameingia hasara.

Si rizki huyu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…