Mwanaume kuzaa nje ya ndoa

[emoji102]
 
Nimekusoma vizuri kabisa mkuu, labda ningeomba unifafanulie kitu kimoja ambacho kinanitiza sana!
Kwamba nyie wakatoliki hamuwezi kuachana kwasababu ya uzinzi, kwamba ukimfumania mume/mke haitoshi kuvunja ndoa, kuna ukweli wowote katika hili mkuu!?
 
Yes ni kweli kabisa. Kumbuka annulment ni ile kutangaza kwamba ndoa hii haikuwa kuwepo toka mwanzo (null and void ab initio) kwa sabab kadhaa nilizozitaja. so kufumania haiwezi kubatilisha ndoa hata kidogo itaendelea kuwepo, na hairuhusiwi mmojawapo kuolewa hata kama watapewa talaka na mahakama ya kiraia.
 
Ckuzote upendo ushuka na kupanda hat bila matukio

Kuvunja ndoa mafikir kiwepec ndoa yenyew mnaitafuta hadi kwa wataalamu
 
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi wako mujarabu kabisa, sasa kwa kiasi fulani nimeelewa kuhusu ukatoliki.
 
Pamoja na kinga ila kwanza haitakiwi mkeo afahamu unachepuka

Sasa wengine huchukua Simu za wanaume wao na kuanza kupekua mawasiliano.

Wengine kama Mwanaume anaishi eneo lingine mkoani Mwanamke hutumia bodaboda kuchunguza anaishi wapi na mwanamke gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…