Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,394
- Thread starter
-
- #41
Hajaoa, ila amemzalisha mtu nje ya ndoaNdioooooo idara hizi zitatenganishwa mi mwanaume akioa asifikiri nitaondoka! ataondoka yeye na huyo wake mpya. Hata kama tendo hatufanyi siondoki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndioooooo idara hizi zitatenganishwa mi mwanaume akioa asifikiri nitaondoka! ataondoka yeye na huyo wake mpya. Hata kama tendo hatufanyi siondoki.
Ni kweli lakini huwa inatokea mkuu ndiyo maana ni vyema huko nje mkatumia kingaYaani mtoto wa nje umpate ndani ya ndoa halafu umtambulishe kwa mkeo?
Haiwezekani ng'ombe dume atoke zizini kwako akazae zizi lingine halafu udai ndama wako!
Ni dharau sana kwa mkeo, na familia nzima.
Hajaoa, ila amemzalisha mtu nje ya ndoa
Duuuh...!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Atajua mwenyewe mimi mambo yake hayanihusu wakiumwa ajue anawatibuje, na matumizi ya familia sita hangia chochote watoto wakitaka hata chupi ni kwa baba yao, hata akilala nje simuulizi na assume mwanae alikuwa anaumwa na maisha ya endelee vizuri tu. Ndo mambo ya shida na raha hayo na michepuko ni miongoni mwa shida! kuwafuatilia wamaume ndo utaumia mwache uhuru azae hadi mbegu ziishe, siku akifa wamgawe vipande vipande kama urithi.
Amen[emoji120]Kikombe hiki kituepuke, Amen
Kuna mmoja juzi nilijikuta tu tusi limenitoka bila kutarajia, ni mume wa mtu na anasema yeye LAZIMA azae nje ya ndoa ikiwezekana watoto wawili, sababu ya msingi hata hana. Yaani haya mambo jamani.He he he ahsante madam
miss chagga hii kwa wachaga nimeiona sana na ni kawaida kabisa, maybe ndio maana unaitetea.Ni kweli lakini huwa inatokea mkuu ndiyo maana ni vyema huko nje mkatumia kinga
Yani kuna watu sijui ni wana mapepo au wenyewe ndo mapepo. (Nimesonyaa)Kuna mmoja juzi nilijikuta tu tusi limenitoka bila kutarajia, ni mume wa mtu na anasema yeye LAZIMA azae nje ya ndoa ikiwezekana watoto wawili, sababu ya msingi hata hana. Yaani haya mambo jamani.
Kuna mama alikuwa anajibana haswa kuhangaika na familia, akaja kugundua mumewe anachepuka na anajenga huko.Atajua mwenyewe mimi mambo yake hayanihusu wakiumwa ajue anawatibuje, na matumizi ya familia sita hangia chochote watoto wakitaka hata chupi ni kwa baba yao, hata akilala nje simuulizi na assume mwanae alikuwa anaumwa na maisha ya endelee vizuri tu. Ndo mambo ya shida na raha hayo na michepuko ni miongoni mwa shida! kuwafuatilia wamaume ndo utaumia mwache uhuru azae hadi mbegu ziishe, siku akifa wamgawe vipande vipande kama urithi.
Anaongezea 'mke wangu anasemaga nikizaa nje ya ndoa anaondoka, najisema kimoyo moyo hivi unadhani unanitisha'.Yani kuna watu sijui ni wana mapepo au wenyewe ndo mapepo. (Nimesonyaa)
Wise woman. Unajikaza kushindia dagaa, mwenzio anatupa kuku aliyelala eeehKuna mama alikuwa anajibana haswa kuhangaika na familia, akaja kugundua mumewe anachepuka na anajenga huko.
Akaamua hajigusi hata kwa chumvi, yaani watoto wakisema mama chumvi imeisha jibu ni 'mwambie baba'. Alihakikisha pesa ya baba inatumika ndani ipasavyo na hakuna mradi uliosimama. Mbona nyumba ya mchepuko iliishia kwenye msingi.
Khaaa Mungu atuepushe. Kuna wanaume ukimsikiliza tu mawazo yake, mnaachana siku hiyo hiyoAnaongezea 'mke wangu anasemaga nikizaa nje ya ndoa anaondoka, najisema kimoyo moyo hivi unadhani unanitisha'.
Yaani mtu kadhamiria kabisaa na haoni taabu.
Una haja gani ya kwenda nje wakati ndani una mkeo yaani nyie wanaume ni watu wa ajabu san mnashangaza kwa kweli kwani hamuwezi kuwa na sehemu moja nyie mpaka mtafute ziada mwanaume mpenda nje huwa ananikera sana mbon sisi tunaweza kukaa na suruali moja maishani kwa nini nyie kila siku nyie badilikeniNi kweli lakini huwa inatokea mkuu ndiyo maana ni vyema huko nje mkatumia kinga
Pamoja na kinga ila kwanza haitakiwi mkeo afahamu unachepukaNi kweli lakini huwa inatokea mkuu ndiyo maana ni vyema huko nje mkatumia kinga
Ndio hapo sasa, hata nguo mpya hushoni umevaa mitumba hadi imekukariri, kumbe kuna mwingine anafanyiwa shoping ya maana, akajionea uduwanzi na watoto akapeleka private schools wote, akamwambia yaani baba jikaze tu kiume wasome.Wise woman. Unajikaza kushindia dagaa, mwenzio anatupa kuku aliyelala eeeh
Wengi wanaleta ubabe kijionyesha kidumePamoja na kinga ila kwanza haitakiwi mkeo afahamu unachepuka
Nimeona baadhi ya wanawake waliovumilia huo upuuzi na familia zinasonga mbele tena kwa amani tu.
Hivi na mwenzi akichepuka akuletee itakuwaje?Wengi wanaleta ubabe kijionyesha kidume