Mwanaume kuweka profile ya kike

Mwanaume kuweka profile ya kike

Hivi inakuaje mwanaume una profile yako picha ya kike iwe whatsapp, insta, facebook au jamii embu naomba mnisaidie huwa wanafikiriaga nini?

Nimejikuta naanza kuwasalimia mambo halafu nawatongozaga huko inbox baadae linakwambia mimi mwanaume


Kiukweli wanakataga stimu kabisa
ndio maana tunapungukiwa nguvu za kiume sababu ya hivi vitu.
Hizo picha huwa hazina majina ya mtumiaji wa hiyo account?
 
Kama huyo unamweleza haelewi!
Screenshot_2019-05-23-09-41-47.jpeg
 
Hivi inakuaje mwanaume una profile yako picha ya kike iwe whatsapp, insta, facebook au jamii embu naomba mnisaidie huwa wanafikiriaga nini?

Nimejikuta naanza kuwasalimia mambo halafu nawatongozaga huko inbox baadae linakwambia mimi mwanaume


Kiukweli wanakataga stimu kabisa
ndio maana tunapungukiwa nguvu za kiume sababu ya hivi vitu.
muwe mnafikiria kabla ya kuandika bhana... maana ya kuficha utambulisho ninini? unataka kila kitu?
 
Inaonyesha n jinsi gan unapenda kutongoza sasa katika utongozaj wako umekutana na me wenzako
 
Hivi inakuaje mwanaume una profile yako picha ya kike iwe whatsapp, insta, facebook au jamii embu naomba mnisaidie huwa wanafikiriaga nini?

Nimejikuta naanza kuwasalimia mambo halafu nawatongozaga huko inbox baadae linakwambia mimi mwanaume


Kiukweli wanakataga stimu kabisa
ndio maana tunapungukiwa nguvu za kiume sababu ya hivi vitu.
sioni shida mwanaume kuweka picha ya mpenzi wake...
naona shida mwanaume kuweka picha ya mwanaume mwenzako.....anyway huenda ni mpnzi wako.
 
Back
Top Bottom