Habari ya W/end wanaJF
naomba kuuliza
mwanaume anaweza kubadilisha ubini (Surname) yake na kutumia ya mkewe?
Dah!! Wajanja wameniwahi mieOoh samahani ,tatizo ni uono hafifu wa macho,
jibu ni TAYARI.
Ni jambo dogo tu mkuu sana Asha D,kwenye vikao vya Chama utakua ukiunga tu mkono hoja zinazotetea maslahi ya wanaume bila kuwakandamiza wanawake ilihali kwenye vikao vya uwakilishi ukipinga hoja zinazokandamiza wanaume...nnunu nitaunda tume ya kufatilia michango yako dhidi ya wenye jinsia usiyokua nayo na nikijiridhisha kua unafaa utaingia moja kwa moja ukipitia viti maalum vya uwakilishi ambavyo ni viwili tu na kimoja tayari nimeshampa mke wangu!
Babu acha kuniaibisha banaa yaani vitu vingine unaona halafu hiyo font ndio ushindwe kuiona vizuriBlaki Womani naomba uongeze size ya font.....kabla sijabadilisha mawazo!:banplease:
Dah!! Wajanja wameniwahi mie
Habari ya W/end wanaJF
naomba kuuliza
mwanaume anaweza kubadilisha ubini (Surname) yake na kutumia ya mkewe?
Blaki Womani naomba uongeze size ya font.....kabla sijabadilisha mawazo!:banplease:
TF
Imetokea mie mwenyewe nilishindwa kuamini kama wewe
Hivi mbona mnalazimisha uchokozi aisee? Nalemaga gete! yaani mie ndo kibao kigeuke niwe ..........Masawe?
BW naomba urudie swali tafazali
Suzy bana ki africa haiwezekani ila kizungu inawezekana. kweli mi nikutolee mahari harafu nitumie jina lako duh sikubali hata kidogo.
Blaki, imetokea hakuna ualakini? Huyo mwanaume kauolewa au kaoa maana mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh...yote yawezekana iwapo tu ataolewa huyo mwanaume vinginevyo mhhhh simo
Jamani jaribuni kusoma vitabu vya DINI sometimes unaweza anzisha thread yako tukakuhisi kutokuwa nauelewa wa mambo fulani. Sasa wewe Black uliona wapi?kwa nani? na kwanini ilitumika hivyo? unajua kuna watu wanafoji ukiniambia uliona kwa hivyo naweza kubali.
Wanaume ni vichwa takeni msitake, anzisheni hiyo mitandao ya kike na mambo yote IT WILL NEVER CHANGE.

Nimeshasema sio kisa cha kubuni nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu
mie mwenyewe sikuamini na ni familia nipo nayo karibu sana
kila mtu kwenye msiba alishangaa wakati ndugu wa marehemu waliposema ubini wa marehemu ni
...................... na sio ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,