Mwanaume kuvaa shanga/cheni kiunoni ina maana gani?

Lengo la huyo kaka ni kutengeneza udadisi kwa wadada watake kwenda kuona hizo shanga, matokeo yake wanishia kuvuliwa chupi. Watu wanafanya mengi kupata papuchi, kuna jamaa yangu akienda kugonga demu mpya anavaa chupi ya kike tena thong, demu lazima ahadithie wenzake nao wakija wanagongwa.
 
mh mi nahisi hukuelewa vizuri siku nyingine ukisikiliza maongezi ya watu uliza na swali...
 
Mkaka anavaa shanga?hayo makubwa maana hata mwanamke tu namshangaa sasa huyo dume mhhhhh????
 
Darisalama hiyoooo. Lazima huyo jamaa ni mali ya mtu. Anamsaidiaga mke wa mtu si bure. Nnani anazihesabugi hizo shanga? Miye nahesabu miviringo yake mwanamke, yeye nnani anamhesabia??
Alimwomba huyo mdada amtangazie biashara yake nadhani
 
Lengo la huyo kaka ni kutengeneza udadisi kwa wadada watake kwenda kuona hizo shanga, matokeo yake wanishia kuvuliwa chupi. Watu wanafanya mengi kupata papuchi, kuna jamaa yangu akienda kugonga demu mpya anavaa chupi ya kike tena thong, demu lazima ahadithie wenzake nao wakija wanagongwa.

Hehehe mkuu mambo ya kusimuliana mabaya sana,, umenikumbusha o level nikiwa de sales moro town nilidate ni kidada kimoja hivi,, kuna kitu nilikifanyia while tumelala akasimulia kwa rafiki zake hehe mkuu nikapiga na rafiki zake watatu heheh...
 
Lengo la huyo kaka ni kutengeneza udadisi kwa wadada watake kwenda kuona hizo shanga, matokeo yake wanishia kuvuliwa chupi. Watu wanafanya mengi kupata papuchi, kuna jamaa yangu akienda kugonga demu mpya anavaa chupi ya kike tena thong, demu lazima ahadithie wenzake nao wakija wanagongwa.

we jamaa wewe utanipasua mbavu
 
mwanaume kavaa shanga burebure tuu? zina maana yake. hamna namna lazima awe na reason na hapo ndipo wanao ziona reason zake za kuvaa zinafanikiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom