Mwanaume Kuvaa Kanga...

Mwanaume anendeza akivaa bukta bwana na ile ya juu kata mkono sijui mwaitaje.... Mume wangu sitapenda avae khanga milele...
Hapo ndio pale tunaposema kila mtu na choice yake..
 
Me navaa sana tu khanga ya dem wangu tena kaniachia kabisa iwe kama kikoi.Leo asubuh nimeifua
 
Me navaa sana tu khanga ya dem wangu tena kaniachia kabisa iwe kama kikoi.Leo asubuh nimeifua
hahahahahha eti hapo kuna ubaya gani? mie naona ni sawa na kikoi tuu..
 
Mkuu unge jaribu japo kidogo kufikiria zaidi siamini kama hapo ndio mwisho wako wa kufikiri,ebu nipe totafuti ya kikoi na kanga?
Mwanzoni nimechangia hapa na kusema hivyo vitu vya kike kuna wanaume huwa hata hawataki kuzisikia nami pia siwezi kuanza kufuatilia kuhusu vikoi na kanga nikaacha kujua Boxer na Kaoshi.
 
kule kwetu wakiona mwanaume amevaa kanga sidhani kama atapita mtaani akiwa na amni
hii dunia ina maajabu kila kona, hili nalo ni jambo la kumsumbua mtu akili duuuuh
Shosti havai akienda dukani,ikiwa kikoi unakijua nadhani utakua umenielewa naongelea nini...
 
Mkuu ebu tulia uisome pole pole nadhani umeielewa vibaya,kwani kikoi si sawa na kanga tuu?
 
Wala me sioni tatizo coz nimekulia ktk familia yenye utaratibu huo yan baba yangu alikuwa akivaa sana khanga ya mama haswa wakat anaenda kuoga.

Me nimejiongeza kwa kulala na khanga kabisaa
SAFIIIIIIIIIIIII...
 
Mwanzoni nimechangia hapa na kusema hivyo vitu vya kike kuna wanaume huwa hata hawataki kuzisikia nami pia siwezi kuanza kufuatilia kuhusu vikoi na kanga nikaacha kujua Boxer na Kaoshi.
Mkuu unatumia nguvu nyingi sana hata sijui why,haya wacha tuu..
 
Mkuu huvai ukiwa njee ivooo,ukiwa ndani chumbani au hata ukumbini..
Ni kweli kwa ndani inaweza isiwe shida!
Ila si Kuna tofauti ya kanga Na kitenge?
Kama ataridhika hebu mpe kitenge bhana......
nadhani kitenge kizito kidogo! au nimekosea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…