Mwanaume Kuvaa Kanga...

Mpe likizo aende mombasa week mbili tu, akirudi atapaka hata lipstick na wanja zako, tena atarudi akiwa amevaa hereni kwenye kitovu na vikuku mguuni.
 
Heshima ni kitu cha bure sana,na hata kukaa kimnya pia ungekua umejibu,ebu rudia kuisoma tena huenda ukaelewa labda umesoma haraka haraka ili upate kujibu..
 
Daah! Mkuu hata mimi sijui nabaki kutazama tu...mwingine et anapenda kuniona nina Cheka Cheka si kutiana uchizi huku?
matani

Dah! Matatizo haya. Kuna mmoja alianza kuniambia nijaribu sketi yake. Nikamwambia kuanzia siku hiyo sitaki ujinga kama huo, hakurudia tena. Nilitaka mpaka kumpiga, hakurudia tena, ukiwachekea wao wanaona kawaida tu.
 
Katika habari yako si umeeleza jinsi mmeo anavyo kujibu? Kuna tofauti hilo swala gumu ndugu
mshawishi lakin labda atakuelewa siku moja ninyi si viumbe vyenye ushawishi kwetu
Inshallah.
 
Heshima ni kitu cha bure sana,na hata kukaa kimnya pia ungekua umejibu,ebu rudia kuisoma tena huenda ukaelewa labda umesoma haraka haraka ili upate kujibu..
Sawa, humu ndo JF mama, we kuwa teyari kwa lolote.
 
Mmeo avae kanga ili atikisike tako? Unamfundisha tabia gani
 
Dah! Matatizo haya. Kuna mmoja alianza kuniambia nijaribu sketi yake. Nikamwambia kuanzia siku hiyo sitaki ujinga kama huo, hakurudia tena. Nilitaka mpaka kumpiga, hakurudia tena, ukiwachekea wao wanaona kawaida tu.
Hawa viumbe aisee! Sijui hua wanawaza vip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…