Mwanaume Kuvaa Kanga...

Nimependa tu jitihada yako ya kumfanya mmeo akuvutie, mwingine angesema napendezwa na wanaume wanaovaa khanga mme wangu hana maana, very good approach, mi ningekuwa yeye doh, ningeikimbilia hiyo fursa haraka kabisa, hongera Dada kwa kujitahidi kumfanya mme unavyojisikia. GOOD, GOOD.
 
Khaaaaa wanawake cjui tunatakaga nn jmn yani huyu kila kitu anapewa na kufanyiwa lkn bado tu hajalidhika kuna kitu kinamuuma eti kwann havai khanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wataka avae khanga mkiwa chumban ikatokea mwizi kaingia kwenu kaiba huyo mmeo atoke na khanga yake kumkimbiza na wew utoke na khanga yako kupiga kelele[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah
Khaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MIAKA 17 BADO TU HUJAJUA KUWA HILO HALIPENDI NA HAWEZI KULIFANYA!
kuna vitu vya kukukera jamani sio ati havai kanga!
mweeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Aaahhhhaaahaaa unataka uone chura ikiwa kwenye ndembendembe aaaaahhhaaahhhhhaa
 
Nimekusikia..
 
Khaaaaa wanawake cjui tunatakaga nn jmn yani huyu kila kitu anapewa na kufanyiwa lkn bado tu hajalidhika kuna kitu kinamuuma eti kwann havai khanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shosti nikwambie kitu eeh,mie napenda sanaaa kumridhia mume wangu kwa vitu vingi na hua hata vyengine its wrong ila kwake hua nafumba macho,sasa nilichoomba kwake sio kitu ambacho hakiwezekani,yeye most of the time mfano nimesha vaa dnakwenda harusini iwe na mamake au na my friends anakwambia tuu mke wangu please usiende baki na mimi,ivi unajua inavyokera? ila mimi Wallah sikasiriki mbele yake,ntafurahi kama kawaida yetu sasa yeye kumwambia hicho ndio hata kusikia hataki ila pia kwa mchango niloupata hapa nimepata ufumbuzi...
 
Achana nae njoo kwangu ntakuvalia kanga zako zoote
hahaha kumuwacha haiwezekani mkuu nampendaaaaaaaa mpaka naogopa,ananidekeza kupita kiyasi,nimemzowea sanaaaa,ni mume wangu,rafiki yangu,mshauri wangu,mzazi mwenzangu furaha ya moyo wangu mlezi wa watoto wetu,namuomba mwenyezi mungu aniwekee wallah..
 
MIAKA 17 BADO TU HUJAJUA KUWA HILO HALIPENDI NA HAWEZI KULIFANYA!
kuna vitu vya kukukera jamani sio ati havai kanga!
mweeeeeeeeeeeeeeeeee!
Shosti nakuelewa ila mie hiki huenda ikawa ni kiduchu sana kwako au its not even an issue ila kwangu kinanikera,nakubali nifanyeje tuu,nandio mana nikaleta hapa ili niweze kumalizana nalo....
 
Ahsante...
 
hahaha kumuwacha haiwezekani mkuu nampendaaaaaaaa mpaka naogopa,ananidekeza kupita kiyasi,nimemzowea sanaaaa,ni mume wangu,rafiki yangu,mshauri wangu,mzazi mwenzangu furaha ya moyo wangu mlezi wa watoto wetu,namuomba mwenyezi mungu aniwekee wallah..
Sasa kelele za nini kama kmwacha huwez ndo hivo tena mwenzio hapendi kuvaa kanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…