Mwanaume kuvaa hereni

Mwanaume kuvaa hereni

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
331
Reaction score
99
Habari mpendwa msomaji wa uzi hii.

Wiki iliyopita nilikuwa mitaa fulani hivi, kuna watu wakawa wanabishana kuhusu mwanaume kuvaa hereni wengine wakidai ni uhuni, ushoga huku wengine wakisema si uhuni.

Ndugu mwanaJF hakuna sheria ianayomkataza mtu kuvaa hereni kwa kuwa kuna baadhi ya makabila kama wabarbaigi mwanaume anaruhusiwa kutoboa masikio na kuvaa hereni.

Hivyo kwa mtazamo wangu ni sawa maana si dhambi wala haijaandikwa kwenye maandiko matakatifu ya Biblia na Quruan, tatizo ni akili za watu kuwaza mambo ndivyo sivyo.

Huo ni mtazamo wangu tu, karibuni tujadili kwa pamoja.
 
Mti wa Chuma

nini hereni mbona kuna wengine hata kuvaa tu condom kwao ni tatizo kama siyo " taboo? ". huo ni urembo tu wa mtu na usikupe shaka mkuu.
 
Last edited by a moderator:
urembo,uhuni,ushoga yote yanaweza kuwa majibu sahihi
 
Heee kwani kuna shida gan kuvaa hereni na cheni
waacheni wavae hereni na cheni kwa raha zao na kwa shida za wengine
mtoa post nakusapoti tena nakupa shikamoo
 
nini hereni mbona kuna wengine hata kuvaa tu condom kwao ni tatizo kama siyo " taboo? ". huo ni urembo tu wa mtu na usikupe shaka mkuu.

Kawaida urembo wa heleni unavaliwa na akina nani? Sketi wanavaa akina nani? Lip stick wanapaka akina nani? Anayeolewa huwa ni akina nai? Anayeoa huwa ni akina nani?
 
Yah ni kawaida ni uswahili unatusumbua sie watz tuonapo men wametupia hereni ila kwa kweli ni kawaida ni pambo kama saa tu halibadili uhalisia wa ndani wa mtu
 
Kawaida urembo wa heleni unavaliwa na akina nani? Sketi wanavaa akina nani? Lip stick wanapaka akina nani? Anayeolewa huwa ni akina nai? Anayeoa huwa ni akina nani?
Suruali wanavaa kina nani? india wana oa ni akina nani?
 
Hahahahaha

Some people must learn how to respect other peoples' way of life.
 
Heee kwani kuna shida gan kuvaa hereni na cheni
waacheni wavae hereni na cheni kwa raha zao na kwa shida za wengine
mtoa post nakusapoti tena nakupa shikamoo
 
Kawaida urembo wa heleni unavaliwa na akina nani? Sketi wanavaa akina nani? Lip stick wanapaka akina nani? Anayeolewa huwa ni akina nai? Anayeoa huwa ni akina nani?

Ndugu yangu hakuna mavazi maalum kwa jili ya mwanamke wala mwana utofauti ni muundo wa itengezaji tu ukiondoa masidiria tu.
 
th
 
Yah ni kawaida ni uswahili unatusumbua sie watz tuonapo men wametupia hereni ila kwa kweli ni kawaida ni pambo kama saa tu halibadili uhalisia wa ndani wa mtu

Tatizo ni kugeza huko malizia na kusuka nywele kabisa maana nalo ni pambohalafu upige na Pamela kipini puani ila mkuu tukikupigia mluzi usirushe Ngumi tu.
 
Teh teh teh naona watu wanawafananisha na wamasai, wakati Masai akitoboa Sikio uue hata Ngumi inapita ila hawa kina wenzetu wanaTOGA jamani.
 
Back
Top Bottom