Mwanaume kuvaa hereni

Mwanaume kuvaa hereni

Habari mpendwa msomaji wa uzi hii.

Wiki iliyopita nilikuwa mitaa fulani hivi, kuna watu wakawa wanabishana kuhusu mwanaume kuvaa hereni wengine wakidai ni uhuni, ushoga huku wengine wakisema si uhuni.

Ndugu mwanaJF hakuna sheria ianayomkataza mtu kuvaa hereni kwa kuwa kuna baadhi ya makabila kama wabarbaigi mwanaume anaruhusiwa kutoboa masikio na kuvaa hereni.

Hivyo kwa mtazamo wangu ni sawa maana si dhambi wala haijaandikwa kwenye maandiko matakatifu ya Biblia na Quruan, tatizo ni akili za watu kuwaza mambo ndivyo sivyo.

Huo ni mtazamo wangu tu, karibuni tujadili kwa pamoja.

usiongee usilo na Elimu nalo.
Quran hairuhusu upuuzi kama huo.
Uislam umekamilika hauhitaji maoni ya mtu yoyote, kila kitu kipo wazi katika uislam.
 
Yah ni kawaida ni uswahili unatusumbua sie watz tuonapo men wametupia hereni ila kwa kweli ni kawaida ni pambo kama saa tu halibadili uhalisia wa ndani wa mtu

Uswahili??? Wewe mzungu? Kubali kuwa shoga basi. Kila watu na mila na tamaduni zao.
 
Uswahili??? Wewe mzungu? Kubali kuwa shoga basi. Kila watu na mila na tamaduni zao.

Ww mila na desturi zako ni kuvaa nguo,Kula vyakula vya kisasa,kutumia internet mbona umeacha mambo kama kutambika na umekimbilia uislamu au ukiristo unadhani huo ni asili yako???
 
Ww mila na desturi zako ni kuvaa nguo,Kula vyakula vya kisasa,kutumia internet mbona umeacha mambo kama kutambika na umekimbilia uislamu au ukiristo unadhani huo ni asili yako???

Zipo + na -. Chagua +. Mfano. Waingereza ni utamaduni kuvaa tai lakini china hawakuchukua. Waafrika tunakula UGALI je wazungu na wachina wameiga tamaduni yetu?
 
Ww mila na desturi zako ni kuvaa nguo,Kula vyakula vya kisasa,kutumia internet mbona umeacha mambo kama kutambika na umekimbilia uislamu au ukiristo unadhani huo ni asili yako???
Bila shaka utakuwa bwabwa wewe. Mnatia aibu.
 
Kuvaa Helen kwa mwanaume ni "ufeminism" yaani tabia ya mwanamume kujipunguzia hadhi ya uanaume halisi na kuwa na character za mwanamke. Take care rafiki unaependa heleni ukiwa mwanaume inaweza sheria ya kuolewa inayoendelea kupitishwa na mataifa mbalimbali ikiwemo Marekani ikakuhusu.
 
Kumbe Biblia na Qur'an ni maandiko matakatifu? !
 
Bruce Jenner alianza hivi hivi na sasa hivi ni Caitlyn Jenner. Hereni ya kazi gani sikioni mwa mwanaume?
Leo hereni kesho kikuku, siku nyingine shanga kiunoni.Baada ya hapo watu wanakuhemea nyuma ya shingo.
[h=3][/h]
 
Back
Top Bottom