Mwanaume kuvaa hereni

Mwanaume kuvaa hereni

Unaijua jamii ya kimasai?

ImageUploadedByJamiiForums1436097551.288006.jpg
Yeah namjua huyo hapo juu, sasa nyie mchelemchele mnatoboaga hivyo?
 
Suruali wanavaa kina nani? india wana oa ni akina nani?

Suruali wanavaa wanaume. ndio utamaduni wetu. Wanawake kuvaa suruali ni new invention! India wanaoa wanaume, lakini wanaotoa mahari ni wanawake. Usichanganye mambo
 
Tatizo watu wanapenda halalisha hata kile kisicho na maana. Hivi Mungu kweli alituumba tifanye haya tifanyayo leo?
Hakumuumba mtu akiwa kajitoboa sikio.... isitoshe Mbinguni hapatakuwa ma kuvaa hizo hereni sasa kwanini utese mwili wako
 
Hereni nipambo tu, namnagani wengine watatafsiri pambo lako shida yao
 

Attachments

  • 1436097983384.jpg
    1436097983384.jpg
    34.5 KB · Views: 438
Suruali wanavaa wanaume. ndio utamaduni wetu. Wanawake kuvaa suruali ni new invention! India wanaoa wanaume, lakini wanaotoa mahari ni wanawake. Usichanganye mambo

Hereni pia. ni new invention kama umekubali suruali iko both afu unajua maana ya kuoa yani anaetoa mahali basi muoaji yeye ndo anahitaji na anaetolewa mahari ndio muolewaji kwani kuvaa nguo ni utamaduni wetu watu wana adopt different life style kutoka sehemu mbalimbali kwa nia ya kumake it better
 
Tatizo watu wanapenda halalisha hata kile kisicho na maana. Hivi Mungu kweli alituumba tifanye haya tifanyayo leo?
Hakumuumba mtu akiwa kajitoboa sikio.... isitoshe Mbinguni hapatakuwa ma kuvaa hizo hereni sasa kwanini utese mwili wako

Mungu kaumba mtu anatumia simu? mtu kavaa nguo? au ni akili ya mwanadamu ktk kupambana na mazingira yake? Yani unapelezea mbinguni kama ulifika vile aseee
 
Tatizo ni kugeza huko malizia na kusuka nywele kabisa maana nalo ni pambohalafu upige na Pamela kipini puani ila mkuu tukikupigia mluzi usirushe Ngumi tu.

Hawezi rusha nguni maana siwanasema biashara ni matangazo na matangazo yenyewe ndio hayowakipita mbele yetu ni mluzi kwa kwenda mbele
 
Mwanaume akishaanza kuvaa hereni mwisho ataanza kurembua macho....
 
Ni kwamba tu waTz (with the exception of Maasai pple) hatujazoea hivyo,..kwnz ni kama taboo, kama sio taboo tayari
 
Hereni kwa mwanaume ni dalili za ushoga...
 
Mti wa Chuma

Katika uislamu ni haramu mwanamme kuvaa mapambo ya kike kama heleni,bangili,cheni,vipn,nguo za kike n.k ni haramu mwanaume kujifanansha na mwanamke na mwanamke kujfananisha na mwanaume.mwanaume wa namna hyo anaitwa ------- katika uislamu cjui bible inasemaje.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani mleta mada ametoboa masikio sasa anatafuta kuhalalisha. Msaidieni mwenze nu
 
Mambo mengine tunayapokea lakini ni ushenzi tu, hivyo ukiombwa tigo usirushe matusi. Ni hayo tu
 
Nawakumbusha vijana kuwa mkivaa hereni msisahau pia kuvaa na magauni....ila tukianza kuwatongoza msirushe ngumi....
 
Back
Top Bottom