Mwanaume kuvaa chupi ya mwenza wako imekaaje?

Mwanaume kuvaa chupi ya mwenza wako imekaaje?

itafika mahali mtavaa mpaka shanga zao za kiunoni na vikuku.
 
Hahahahahaha kuna yule mwenzio alikuja na mpya zaidi ya hii, eti anapenda kunusa kufuli la mkewe, wewe unavaa yeye ananusa duuuuhhh hahahahahaha
 
Sipati picha huyo mke awe amejaaliwa au mnene halafu mume mwembamba hapo pini au mkanda itabidi uhusike
Hahaha!mahaba niue

Hahahahahahhahahahahahahahahahhha

Atafunga na rubber band duuuuhhh
 
ukivaa chupi ya mwenza wako utakuwa na tabia kama zake tu.
 
Hii imenitokea wakati fulani alipokuwa mbali, ila kwa sasa yupo. Ila nae huwa anavaa zangu mara kwa mara.

Wala si huyu tu bali hata wa wale wa awali walipenda kuvaa kufuli zangu.

Mh utakuwa elton john na yeye alianza kama wewe
 
Nikuzitanua tu... Waambie waache sio vizuri huku kwetu tuna mkia nyie hamna
 
ukiona kaanza kuvaa blauz na sketi na zngne za humo ndani ujue tayari ule usemi wa "HAKI SAWA" umetimia. lakini na wewe uwe unavaa boxer yake na nguo zngne zote zakwake, HAKI SAWA kimavazi itakuwa imetimia itabak upande mwngne (kazi etc). umempata mtu ambae mnaendana hongera xana!
 
hapana aisee...ye akitaka boxer zangu avae tu ila mm kuvaa chupi ya kike hapana...ili nigundue nn? tna kikamba cha bikiri nikikipatia picha ndo mpka napata vipele
 
Mwanaume akivaa chpi ya mkewe anaonesha wazi kuwa hachepuki jamani, so as mke. Saasa basi, kuonesha uaminifu wa hali ya juu mume avae bikini kabisaaaa ili ashindwe kuchepuka.:lalala:
 
Endelea tu kuvaa maana hakuna namna sasa. Ila siku ukiumwa ghafla kazini na ikabidi wakuvue ndo hapo utakapoona raha ya kuvaa kufuli za mkeo
 
Mwishowe utasikia MWANAUME kuvaa gauni la wife ni fasheni... Vaeni nyie
 
Kuwa makini tu usije ishia kuwa Auntie man/faggot/batty boy/queer/bwabwa/gay maanake huanza kwa kupenda mambo ya kike kike kama hivyo mwisho wa siku marinda wanayaweka rehani.

Watch out.
 
Back
Top Bottom