Mwanaume kutoa hela bila kuombwa

Mwanaume kutoa hela bila kuombwa

Mwanamke usimpe pesa fanya hivi nunua vitu anavyovipenda just mpe kama zawadi cku nyingine mtoe out mwanamke anahitaji kukumbuka moment mlizokuwa pamoja
 
Mwanamke usimpe pesa fanya hivi nunua vitu anavyovipenda just mpe kama zawadi cku nyingine mtoe out mwanamke anahitaji kukumbuka moment mlizokuwa pamoja
Daah kutoka out kwa mazingira yake ni ngumuu...labda zawadii
 
Yaani ampe hela ampangie na matumizi sasa hapo atakuwa amemsaidia? Amwambie kabadilishe nywele wakati huo dada ukute anapiga hesabu akipata hela akanunue gesi ya kupikia maana inaelekea ukingoni
hapana siyo lazima afanye kama nilivyomwambia, ila inaonyesha namna flan ya uwajibikaji wa hiari kwa mwanaume, mf. nikimpa asiposuka yeye mwenyewe anaweza kuniambia nilifanyia kitu flan bila kumuuliza, nna ka baby bado yupo chuo, alikuw anashangaa tuu kila ijumaa nnamtumia 35000, alivyofunga nikawa situmi iyo siku kauliza kumbe ile hela ulikuwa unanitumia ni ya nn?nikamwambia ya chakula kwa wiki
 
Sawa mkuu nimekusoma
 
Jamani nimepata mtoto fulani mkali sana mpaka sasa naona hajawahi niomba hata mia kiukweli ni faraja sana maana siku hizi watoto wa kike na pesa balaa lakini tatizo najifikiria kumpa kahela fulani bila yeye kuniomba.

Je inawezekana ndo nikawa naanzisha tatizo na kufungua njia za yeye kuanza kuniomba hela?

Tushauriane aisee nisije kumpoteza mtoto mzuri kwa ujinga wangu mwenyewe.
Siyo lazima umpe...kikubwa ni true love pia uache kuamini kuwa kila lady anapenda sana hela japo wengi wanapenda, kuna wengine hawana shida na pesa they want really love...respect and care..

More siku ya HBD yake unaweza mpelekea zawadi pia uwe unamcomfort ktk ups & downs pia mnaeza kuwa mnatoka out...Nadhani atakupenda zaidi
 
Nasikia: Kama umeoa ukaamua kumsaidia mkeo siku moja kupika kwa mapenzi tu, huo ndio mwanzo wa kuanza kuambiwa na leo pika mbona siku ile ulipika.

Akili zao wanazijua wenyewe!
Not true...

Kuna nyakati unatakiwa umsaidie mkeo likely akiwa mgonjwa pia hata siku moja moja unajitoa kupika
 
Kama umeamua kumpa tu mpe fanya kutoa ni moyo na umesaidia tu

Tabia ya mtu haibadiliki kama yuko hivo hakutakua na mabadiliko yoyote pale tu utakapompa hizo pesa
Sijui kwa nini nimewakumbuka BONGO MOVIE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom