Mwanaume kutoa hela bila kuombwa

Mwanaume kutoa hela bila kuombwa

Sasa ataanzia wapi kukuomba wakati pesa zenyewe huna! Kuna wasichana/wanawake wengine wanatumia vizuri bongo zao. Subiri ukamate mavuba uone atakavyokudadilikia...asikudanganye mtu tabia za hiyo jinsia zinafafana wanapenda pesa utadhani wamezitengeneza wao.
 
Unawez kutoa hela yako ktk indirect way km kumfanyia surprise or other wise not only handling maoney can make her aone uwepo wako
Ofcoz kumpa zawadi ni sahihi zaidi sema saa nyingne ana vishida vidogo binafsi hawezi kukwambia...!
 
Sasa ataanzia wapi kukuomba wakati pesa zenyewe huna! Kuna wasichana/wanawake wengine wanatumia vizuri bongo zao. Subiri ukamate mavuba uone atakavyokudadilikia...asikudanganye mtu tabia za hiyo jinsia zinafafana wanapenda pesa utadhani wamezitengeneza wao.
Aisee kuna wengine katika hali hii hii niliyonayoo mkibadilishana namba kesho anaanza kuleta shidaa...!! Wengine hawajali hali yakoo..kama huwezi kumpa anachotaka maana ake huwezi kua nae..
 
Kuna wanawake ambao hawajazoea kuomba...

Inabidi wewe mwanaume ujiongeze...

Cc: mahondaw
Ofcoz mkuu...!! Yani vilee tumezoea kila unarkutana nae ni kupigwa mizingaa tu ukipata manzi mwezii hajakuombaa hela unashangaa...
 
Kama wewe humpi jua yupo anayetoa.Wewe kakupendea sura na sio hela.
Kuna mwingine kapendewa mashine.
Don't trust them. Never trust a woman.
 
Good after noon Mzigua.
Ajue yupo mtoaji.
20180203_122145.png
akiona haombwi ajue kuna mwenzie anatoa.
 
Haa ha...sema ukimpenda kama unayo utampa tuu
Rikiboy. Mwanamke kama huna mkwanja anajua.
Sisi wanaume kujionesha ufahari mbele ya wanawake ni kitu cha kawaida. Hasa vijana (20s - 40) .
So ukiona mrembo hakuombi, fahamu kuwa Kisu cha Ngariba anakulipia.
 
Haa ha ha...ofcoz kuna ilee ya kutaka kuonesha uwanaume...!!
 
Jiongeze ila usimpe tuu bila kuonyesha sababu ya kufanya hivyo, unaweza kumwambia chukua hii kabadilishe nywele, ama nimeona duka flan nguo nzur kanunue...usimpe pesa tuu bila sababu atazoea vibaya
Yaani ampe hela ampangie na matumizi sasa hapo atakuwa amemsaidia? Amwambie kabadilishe nywele wakati huo dada ukute anapiga hesabu akipata hela akanunue gesi ya kupikia maana inaelekea ukingoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom