Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,992
Ofcoz kumpa zawadi ni sahihi zaidi sema saa nyingne ana vishida vidogo binafsi hawezi kukwambia...!Unawez kutoa hela yako ktk indirect way km kumfanyia surprise or other wise not only handling maoney can make her aone uwepo wako
Aisee kuna wengine katika hali hii hii niliyonayoo mkibadilishana namba kesho anaanza kuleta shidaa...!! Wengine hawajali hali yakoo..kama huwezi kumpa anachotaka maana ake huwezi kua nae..Sasa ataanzia wapi kukuomba wakati pesa zenyewe huna! Kuna wasichana/wanawake wengine wanatumia vizuri bongo zao. Subiri ukamate mavuba uone atakavyokudadilikia...asikudanganye mtu tabia za hiyo jinsia zinafafana wanapenda pesa utadhani wamezitengeneza wao.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji13] [emoji13] hii nayo kweli..!! Sema ukichukulia hivyo daah noma sanaKama wewe humpi jua yupo anayetoa.Wewe kakupendea sura na sio hela.
Kuna mwingine kapendewa mashine.
Don't trust them. Never trust a woman.
Good after noon Mzigua.Good morning.
Unawajua lakini mama zetu hawa!? Au unadhani akiguna na kuhema kitandani basi umemkuunaa! Thubutu![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji13] [emoji13] hii nayo kweli..!! Sema ukichukulia hivyo daah noma sana
Unawajua lakini mama zetu hawa!? Au unadhani akiguna na kuhema kitandani basi umemkuunaa! Thubutu![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji13] [emoji13] hii nayo kweli..!! Sema ukichukulia hivyo daah noma sana
Unawajua lakini mama zetu hawa!? Au unadhani akiguna na kuhema kitandani basi umemkuunaa! Thubutu!
Good after noon Mzigua.
Ajue yupo mtoaji.
View attachment 689682 akiona haombwi ajue kuna mwenzie anatoa.Good after noon Mzigua.
Ajue yupo mtoaji.
Rikiboy. Mwanamke kama huna mkwanja anajua.Haa ha...sema ukimpenda kama unayo utampa tuu
Haswa. Mwanamke hapendi shida. Wana akili kama mchwa.View attachment 689682 akiona haombwi ajue kuna mwenzie anatoa.
Haa ha ha...ofcoz kuna ilee ya kutaka kuonesha uwanaume...!!Rikiboy. Mwanamke kama huna mkwanja anajua.
Sisi wanaume kujionesha ufahari mbele ya wanawake ni kitu cha kawaida. Hasa vijana (20s - 40) .
So ukiona mrembo hakuombi, fahamu kuwa Kisu cha Ngariba anakulipia.
Huo ndio uanamume!Yaah so shida ndogondogo inabdi kidogo ujiongezee maana anaweza liwaa kwa njaa ya vocha tuu
Yaani ampe hela ampangie na matumizi sasa hapo atakuwa amemsaidia? Amwambie kabadilishe nywele wakati huo dada ukute anapiga hesabu akipata hela akanunue gesi ya kupikia maana inaelekea ukingoniJiongeze ila usimpe tuu bila kuonyesha sababu ya kufanya hivyo, unaweza kumwambia chukua hii kabadilishe nywele, ama nimeona duka flan nguo nzur kanunue...usimpe pesa tuu bila sababu atazoea vibaya