PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,229
Hapana ingekua ni omba omba wala asingejificha hiyo tabia maana wale siku ya kwanza ya pili wanaanza kulia lia shidaNimekuelewa mkuu...nliogopa asijezoeaa akaanza kuomba omba sasaa maana itakuwa mimi ndo nimekoseaa
Good morning.Swali la msingi, kama humpi hela, nani anampa?? Kwa mwanamke hela yoyote anayopata kwa jasho lake haimtoshelezi.
hahahah...kuna wengine hawawezi kutoa hela kwa yeyote hata mpenzi pasipo kuombwa. ukitaka omba ukikaa kimya imekula kwako!Haa ha...!! Daah yanii nakapenda sana ndo maana...[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
nimeipenda hiiJiongeze ila usimpe tuu bila kuonyesha sababu ya kufanya hivyo, unaweza kumwambia chukua hii kabadilishe nywele, ama nimeona duka flan nguo nzur kanunue...usimpe pesa tuu bila sababu atazoea vibaya
[emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia: Kama umeoa ukaamua kumsaidia mkeo siku moja kupika kwa mapenzi tu, huo ndio mwanzo wa kuanza kuambiwa na leo pika mbona siku ile ulipika.
Akili zao wanazijua wenyewe!
Ni kweli mkuu,Yanii mkuu achaa tuu..ukipata manzi mkali mzuri afuu ukamtongoza asikuombe helaa aisee ni mmoja kati ya 100