Inawezekana aisee... Ilaa sasa hapo ndo ntampoteza maana mapenzi ya pesa pesaa shida sanaaHuyo hakuombi pesa hapo ujue anaku target ipo siku utajaa mwenyewe kiulaiiiiini na kuzitoa za kutosha tena bila hata yakutafuta ushauri kwa wana JF[emoji1321]
Inawezekana aisee... Ilaa sasa hapo ndo ntampoteza maana mapenzi ya pesa pesaa shida sanaa
So nimpe ilaa nimwambie hali halisi kuwa vyuma vimekaza lakini so mbaya mke wangu nkikupa kidogo ya vimahitaji vidogovdogo..Na mapenzi ya bure bure pia ni shida
Unategemea nani atakae mtimizia mahitaji kama sio wewe,!!!!
Cha msingi unatakiwa uya balance tu
Ukienda kwa kujisifia wewe mtt wa bakhresa au wa mzee mengi ili azidi kukupenda hapo ndio itakuwa nwanzo wa mizinga isio ya maana[emoji1321]
Nimekuelewa mkuu...nliogopa asijezoeaa akaanza kuomba omba sasaa maana itakuwa mimi ndo nimekoseaaWengine kuomba omba hovyo hatuwezi wewe unajua kipenzi chako nina mahitaji fulani ya kike kwanini usiyatimize kwa mapenzi tu mpaka uombwe??
So nimpe ilaa nimwambie hali halisi kuwa vyuma vimekaza lakini so mbaya mke wangu nkikupa kidogo ya vimahitaji vidogovdogo..
Kwani kuna mbaya?Kama mzuri mpe