rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,164
- 43,855
Jamani nimepata mtoto fulani mkali sana mpaka sasa naona hajawahi niomba hata mia kiukweli ni faraja sana maana siku hizi watoto wa kike na pesa balaa lakini tatizo najifikiria kumpa kahela fulani bila yeye kuniomba.
Je inawezekana ndo nikawa naanzisha tatizo na kufungua njia za yeye kuanza kuniomba hela?
Tushauriane aisee nisije kumpoteza mtoto mzuri kwa ujinga wangu mwenyewe.
Je inawezekana ndo nikawa naanzisha tatizo na kufungua njia za yeye kuanza kuniomba hela?
Tushauriane aisee nisije kumpoteza mtoto mzuri kwa ujinga wangu mwenyewe.