Naombeni kuuliza eti ni sawa mwanaume mtu mzima miaka 30 na kuendelea kumkiss mwanaume mwenzake? Nazungumzia zile kiss za left side, right side then mdomoni kidogo? Ni sawa eti
Kwetu wanawake ni kawaida ila hawa wababa kweli kidogo nizimie hapa hata kama nimezaliwa bush sijaelewa hawa watu Hadi kichwa kimeuma.
Jaribu kuchunguza hapo jinsia zao,usijekuta kuna demu anajifananisha na mwanaume,kuna wanawake sasaivi wanavaa nguo za kiume huwezi amini kama wanawake,chunguza vizuri