mwanaume kulala kwa mwanamke

sio hivyo nimaisha ya mahusiano tu ndio hana kipato kikubwa bt kwann yeye alipe kwake miezi 6 ww uhangaikie kodi na asikusaidie hata mwezi mmoja wakati huwa anakuja kulala kwangu???????

we dada unaonekana ni tegemezi sana we umesha sema we una kwako na yeye ana kwake sasa akulipie kodi ya nini au hiyo **** yako ndiyo mtaji wako wa kukuweka mjini??nyie ndio wale mnajilengesha kwa wa2 halafu mnawapa chini ili mkijua atawahudumia,kama unaona kwako ni hatari basi wewe mwambie mkalale kwake siku anayojisikia hamu!!
si kulala tu siku moja kwani kuna ubaya gani hata kwake unaweza ukalala kwani unampunguzia nini??lakini hilo la kwako hilo la kutaka kumlalia mtu kisa tu unatoa chini hapo inaonekana UMENOA.
kama vipi akija kwako mtoze ei basi kama buku mbili golo moja au buku tatu goli moja kama wale wa kimbokka ili awe anajiandaa kabisa mana ushaifanya hiyo k yako kuwa bidhaa ya kutatulia matatizo yako.we mbona haulipi kodi yake wala pango lake wala bili haumsaidii kulipa??
 
 
Kabla ya kulalamikia kodi jiulize kwanini hataki wewe ukalale kwake kuna uwezekano kuna bi mkubwa.Akikuzingua mgonganishe na njemba mwingine ili ambonyeze kizenji.
 
 
Last edited by a moderator:
 
Neno la Mungu ni upanga unaokata kuwili na kwa sababu hiyo wengi hatupendi sana kusikia neno hili kuingia masikioni mwetu. Lakini basi pamoja na hayo naomba niseme hivi, miili yetu ni hekalu la Roho Mtakatifu tuitumie kwa sifa na utukufu wake aliyetuumba. Amina.
 
Km ana kwake na wewe nenda kakae kama siku 3 hivi,najua lazima mta-do...baada ya hapo atakuwa anakuita uende magetoni kwake.
 

wewe ungenifaa sana,lol
 
 
mama pita.. laleni mchana siyo usiku kwamaana mkilala usiku ndo unakuwa na machungu ya kutochangiwa kodi. ukilala nae mchana angalau utamshawishi hata anunue chips mayai.... lunch?.....easy...
 
Kwa hiyo ikitokea mkawa mnaenda kwake,
Na we utakuwa responsible kwa kodi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…