Wanaume mnaojiliza liza kama wanawake mnaboa sana, mnapiga mizinga kiasi kwamba mmetuzidi mpaka wanawake, mwanaume kama huna hela unatakiwa uonyeshe kwa vitendo na si kujiliza liza kama mmama, jikaze wewe mtoto wa kiume. Uko wapi uanaume wenu? mwakera sana ati
duh,mipasho ya facebook ime hamia JF,....
Wanaume mnaojiliza liza kama wanawake mnaboa sana, mnapiga mizinga kiasi kwamba mmetuzidi mpaka wanawake, mwanaume kama huna hela unatakiwa uonyeshe kwa vitendo na si kujiliza liza kama mmama, jikaze wewe mtoto wa kiume. Uko wapi uanaume wenu? mwakera sana ati
Unayemwambia yupo humu JF??Nakama kakulilia sinikwamba anakutegemea umfute machozi sasa wewe baada ya kumfuta machozi unamwanika huku JF??!!Vihoja kweli haya nadhani kasikia!
Sasa kinachowakasirisha ni nini? wanaume wamezidi kujiliza liza hovyo mpaka inakera ati. Tena pengine bila hata sababu za msingi
Ujio wa Feb na March huo umesahau Speaker?
Yaani sijui Mod watadhibiti vip hizi craps,
Zinaidharirisha sana JF yetu!!
I hate this kind of craps!
asante dada mkubwa
wanaume gani hao?? uliokutana nao ? au ni wanaume wote??..na wanalia kwa sababu gani? kupiga mzinga au?
We mtoto koma kabisa. Shida haina mwanaume au mwanamke.
Sio wanaume wote ila, limeanza kuibuka kundi la wababa kazi yao akiwa na mpenzi basi kazi yake ni kupiga mizinga tu bila aibu, na hii tabia inaonekana kukua sana
Mwambie straight aliyekupiga mzinga, sio unakuja hapa JF, una uhakika huyo bwanako anakuja hapa?Sio wanaume wote ila, limeanza kuibuka kundi la wababa kazi yao akiwa na mpenzi basi kazi yake ni kupiga mizinga tu bila aibu, na hii tabia inaonekana kukua sana