Anatekeleza kauli mbiu ya baba jesicaa, kubana matumizi badala ya kununua nguo jozi mbili yake na mkewe ameamua kununua zake pekee. Tumuunge mguu mtukufu.Huyo mume ana roho mbaya....
Pole, jinunulie tu mwenyewe kuwa responsible na furaha yako
weeee na hiyo avantar yako usituletee.kwani huyo ni baba yako hadi umtegemee kwa kila kitu ?
siku nayokujua ulikua umependeza na unanukia na nguo za bei mbayaweeee na hiyo avantar yako usituletee.
Hao wanaume wa hivyo wako wengi sana mwaya mdada so jipe raha mwenyewe ulimchagua huna sababu ya kuumiza akili yako. na wewe jinunuliage tu vitu vyako na upendeze aone wivu. akikuambia umepata wapi hela mwambie baba ako kakupa.
najisikia vibaya sana kwa watu kama hawa. wanajipenda wenyewe hadi wanasahau watoto.
BaBa kakupa hahahahahaweeee na hiyo avantar yako usituletee.
Hao wanaume wa hivyo wako wengi sana mwaya mdada so jipe raha mwenyewe ulimchagua huna sababu ya kuumiza akili yako. na wewe jinunuliage tu vitu vyako na upendeze aone wivu. akikuambia umepata wapi hela mwambie baba ako kakupa.
najisikia vibaya sana kwa watu kama hawa. wanajipenda wenyewe hadi wanasahau watoto.
haaaa jamani jamanisiku nayokujua ulikua umependeza na unanukia na nguo za bei mbaya
ghafla baada ya kukutongoza unihamishie mzigo wa matatizo kwangu
hv unafikiri nilikua natafuta mpenzi au matatizo ?
Kama matatizo nina ndugu kibao wana matatizo
Yes ndo maana yake.BaBa kakupa hahahahaha
kujitia upofu kwenye kutumia hela tu au hadi ukiona unaibiwa ?haaaa jamani jamani
nilivyokuwa nanukia vzr wazazi walikuwa wadau. sasa y usiendeleze udau huo?
jitieni tu upofu mtakuja lia siku si nyingi. Uzuri wanawake wa siku hizi hawataki kuumizwa tena.
Yaan hapo kwenye upofu kwenye hela mtajikuta mnaibiwa.kujitia upofu kwenye kutumia hela tu au hadi ukiona unaibiwa ?
sasa kama nakutaka halafu hela sina inakuwaje ?
Wanaume wa siku hizi hatutaki kuumizwa mfukoni
Upuuzi tu huuSasa ushasema ni mume wako alafu unauliza tena kama anafaa kuwa mume??
Kidogo niko njia moja nawe safiMmh kwenye uchumba alikuwaje kwani? Alikuwa anajijali tu mwenyewe? Mna watoto? Anawahudumia ipasavyo?