Mwanaume kujijali peke yake

hapo unachanganya habari...we ni mke au mke wa uongo...anafaaje kuwa mume wakati tayari ni mume..rekebisha hapo..na kinginehamkujuana tabia kama ni mume wako tayari au kama sio mume si ndio ujijue unatakamume waaina gani au mapungufu gani unaweza yavumilia.......pia jamaa naye nomahana ime duh weaknes nayo..hajaonesha manjonjonjo muhimu labda naogopa kutendwa
 
kama alikua anaficha tabia yake kile kipindi cha kuchombezana sasa hiyo ndo tabia yake ni mbinafsi we mwambie ukweli akinuna akivimba tulia tafakari njia nyingine ya kukupatia pesa zako za matumizi
 
Pole, haya ni maswali ulipaswa kujiuliza mlipokuwa marafiki au wachumba.
 
Huyo mke kakubali vipi kuolewa na mtu kama huyo? Kabla ya kuolewa hakumchunguza?
 
Fanya kwanza kile unachotaka ufanyiwe na usimtendee mtu kitu usichopenda kutendewa, It begins with u
 
Sio lazima akununulie yeye hata wewe unaweza kujinunulia 50 kwa 50, wanawake wanaweza bila kuwezeshwa!
 
samahan mama et kuna shughuli yoyote unajishuhulisha nayo? by tha way maisha kabla ya ndoa yalikuaje?
 
Ni kweli ila tatizo litakuja pale unapomnunulia vijizawadi halafu mwenzia hata hastuki wala habadiliki.Ishanikuta hii na inauma sana mtu asikwambie
 
Ni kweli ila tatizo litakuja pale unapomnunulia vijizawadi halafu mwenzia hata hastuki wala habadiliki.Ishanikuta hii na inauma sana mtu asikwambie
UKITENDA WEMA TENDA UENDE ZAKO USINGOJE KULIPWA FADHILA MKUU
 
Habari?

Jaman iv inakuwaje mwanaume kakuoa

kiukwel nashndwa kumuelewa ,iv uyu anafaa kwel kuwa mume au ?

Embu nisaidien .

Kujibu hilo swali lako ni kwamba anafaa sana kuwa mume na ndio maana kakuoa kama ulivyokiri halo juu

Tatizo ni kwamba tabia haina dawa na wewe ndio umeshaolewa na sidhani kama utaweza kumbadilisha kwa michango na mawazo ya hapa Jf, hivi kabla hamjaoana hamkuwahi kuwa katika mahusiano na kujua tabia zake? Coz hilo ndio kosa ambalo umewahi kulifafanya na haliwezi kurekebishika labda kwa kubreak up hiyo ndoa na kuanza maisha mengine
 
Xry ingekuwa vizur ungejibu kwa kiswahili peke yake maana mtoa mada kaleta kwa kiswahili siyo wote tunaojua hiyo lugha
 
Huyo mume ana roho mbaya....
Pole, jinunulie tu mwenyewe kuwa responsible na furaha yako
 
Wewe bongenyo inaonekana ni mvivu sijui kwa kuwa ni bonge...ndo mana huyo sijui mmeo hakujali amekuchokaa...maana hata uzi wako umeutupia hapa jf na wewe umekaa kwenye kochi unaangalia tv...
 
Wanaume wengi hasa wa bara hua hawa wajali wake zao bali hujijali wao hasa mavazi,
Yani wakuta njiani mwanaume kapiga pamba kali mkanda nje, anaongozana na mkewe walivyo kama mtu na bibi ake.

My dear shtukaaa, utazeeka siku si zako.
Mke ndio pambo la nyumba kama pambo lenyewe halitiwi hata nakshi nakshi mmmh halinogiii.
 
Je kwny uchumba alikununulia hata kyupi?mana km ni hapana we mwenyewe ulichemsha,huyo hakuwa mume mana ni mbinafsi.BTW endelea kuimba ule wimbao wa "teenda miujiza...teenda miujiza" stunter anaujua
 
Acha kulalamika. Mtaharibu mapenzi yenu kisa "kujijali". Wewe unamjali? Vitu unavyotaka akununulie wewe pia humnunulia?

Mapenzi yenu yatakuwa magumu sana kama kipimo ni vitu mnavyonunuliana.

Zungumza nae kwa vitendo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…