Sasa ushasema ni mume wako alafu unauliza tena kama anafaa kuwa mume??Habari?
Jaman iv inakuwaje mwanaume kakuoa ,ila ajawah fikiria kukununulia mahitaj yako kama mavazi na vingne muhmu kwa mwanamke ,au ukimuomba hela anakasirika pengne msiongee hata week nzima.
Ila sasa yy anajijali mwenyewe ,kama mavazi atanunua yeye kama yy ,kwa kifupi ajajiangalia peke yake.
kiukwel nashndwa kumuelewa ,iv uyu anafaa kwel kuwa mume au ?
Embu nisaidien .
Hapo sijajua unamzungumzia boyfriend au mume..mwanzo kakuoa mwisho unauliza kama anafaa kuwa mume..ina maana kama ulikubali kuolewa nae hukujua kama ni mkono wa birika?.,....fafanua tukuelekeze bongenyo.Habari?
Jaman iv inakuwaje mwanaume kakuoa ,ila ajawah fikiria kukununulia mahitaj yako kama mavazi na vingne muhmu kwa mwanamke ,au ukimuomba hela anakasirika pengne msiongee hata week nzima.
Ila sasa yy anajijali mwenyewe ,kama mavazi atanunua yeye kama yy ,kwa kifupi ajajiangalia peke yake.
kiukwel nashndwa kumuelewa ,iv uyu anafaa kweli kuwa mume au ?
Embu nisaidien .
Nimeshangaa pia, au ndio wale wanaoamua kuishi pamoja kupimana tabia.Sasa ushasema ni mume wako alafu unauliza tena kama anafaa kuwa mume??
Huyo kuna kitu hujampa au hajaridhika na mapigo ya moyo sasa rekebisha kama mapigo bado hayajamridhisha ndio anakuwa mchungu wa kukununulia ilavpia mchunguze aweza kuwa kuna mahala ananunua kwa mwenzako anapopata mapigo ya moyojaribu kuongea nae umweleze au utumie rafiki yake wa karibu, kama huwezi kumweleza direct, mkiwa mnapiga stori msimulie kisa cha kutunga kuhusu mtu ambaye anajijali mwenyewe alafu umuulize yeye binafsi anamchukuliaje mtu mbinafsi au jaribu ukiwa unanunua vitu vyako uwe unamnunulia na yeye pia ataona aibu na atabadilika tu. huu mchezo hauhitaji hasira we mvumilie tuu
Hivi wewe kwenye hatua ya uchumba ulifanya nini??? huko ndiko ulitakiwa kumchunguza mtu na kufanya maamuzi kama anafaa kuwa mume....Sasa unakuja kuuliza watu kama anafaa kuwa mume kwani hawa wengine wamewahi kumdate....msikurupuke kwenye ndoa hata siku moja.Habari?
Jaman iv inakuwaje mwanaume kakuoa ,ila ajawah fikiria kukununulia mahitaj yako kama mavazi na vingne muhmu kwa mwanamke ,au ukimuomba hela anakasirika pengne msiongee hata week nzima.
Ila sasa yy anajijali mwenyewe ,kama mavazi atanunua yeye kama yy ,kwa kifupi ajajiangalia peke yake.
kiukwel nashndwa kumuelewa ,iv uyu anafaa kwel kuwa mume au ?
Embu nisaidien .
Ni kama uchaguzi ushaisha hakuna kampeni tenaMmh kwenye uchumba alikuwaje kwani? Alikuwa anajijali tu mwenyewe? Mna watoto? Anawahudumia ipasavyo?
Ha ha ha, mkuu umemaliza.Sasa unakuja kuuliza watu kama anafaa kuwa mume kwani hawa wengine wamewahi kumdate...