Mwanaume kufuga kucha na minywele ni ukosefu wa kazi

Na huo muda wa kwenda kunyoa ni upotevu wa muda,Maana kila mtu huwa ana willing zake

Mfano wanasayansi wengi jiulize kwann walikuwa hawanyoi nywele basi kuwa na nywele kichwani au kutokuwa nazo ni kipendeleo cha mtu ni hayontu Mkuu

Mimi binafsi amini usiamini nilipenda kuwa na nywele kichwani tangu nipo primary mpaka leo hiii nipo chuoni na Msuli napiga kama kawaida na nafanya kazi vizuri katika masomo sasa hapo sijui utasemaje? Au labda ungesema naadhi yao ila sio wote.

Wapo wanajituma kufanya kazi na wanapenda kuwa na nywele kichwani au wanafuga pia wapo wavivu wasiopenda kazi lakini hawafugi nywele kichwani
 
Huenda uko sahihi, lakini tujiulize, hayana faida kwa nani?...
 
Mkuu kuna watu nimewaona wanakera vbaya mno.hao hao huea wananipotezea mda wangu wa ofisini,unakuta mda wote anahangaika na midawa kibao mafuta
 
Nakumbuka nilivokuwa mdogo maza alikuwa ana mind Sana akiona nimefuga kucha ya kidole kidogo.kwa Kweli haipendezi kwa mwanaume kufuga kucha kwenye nywele sijui
WAZEE WA PICHA.HIVI NDIVYO VIDOLE VINATAKIWA VIWE NADHIFU MUDA WOTEView attachment 881086
Hapo sawa mkuu.hata ukikaa kwenye kundi la watu unakuwa smart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…