Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaofanya hv wanajifahamu mkuu,na watakuja na povu hapaNakukumbusha; Ongeza maelezo hapo kwenye kufuga nywele zenye kipimo kipi ili upunguze utata mkuu
hahahaha.popote paleMbona unatusema wazee wa afro mkuu,ingawa hujaspecify kufuga nywele za wapi
Huenda uko sahihi, lakini tujiulize, hayana faida kwa nani?...Nimeamua kuleta thread hii mbele yenu kwa faida za wanajamii wa humu ndani na wengine wa nje.
KWAMBA
mwanaume kupoteza muda mwingi wa kufuga kucha na minywele kibao ambayo hayana faida yoyote wala kipato chochote ni ukosefu wa kazi tuu.
Nimeleta uzi huu kwa nia ya makusudi kabisa ili utoe fundisho kwa wanajukwaa wa aina hii.
Off
Waje tuu mkuu.No way,mda mwingi unakuta mwanaume ana midawa kibaoWanakuja kukushambulia jiandae
Kwahiyo tusifuge Afrohahahaha.popote pale
Mkuu kuna watu nimewaona wanakera vbaya mno.hao hao huea wananipotezea mda wangu wa ofisini,unakuta mda wote anahangaika na midawa kibao mafutaNa huo muda wa kwenda kunyoa ni upotevu wa muda,Maana kila mtu huwa ana willing zake
Mfano wanasayansi wengi jiulize kwann walikuwa hawanyoi nywele basi kuwa na nywele kichwani au kutokuwa nazo ni kipendeleo cha mtu ni hayontu Mkuu
Mimi binafsi amini usiamini nilipenda kuwa na nywele kichwani tangu nipo primary mpaka leo hiii nipo chuoni na Msuli napiga kama kawaida na nafanya kazi vizuri katika masomo sasa hapo sijui utasemaje? Au labda ungesema naadhi yao ila sio wote.
Wapo wanajituma kufanya kazi na wanapenda kuwa na nywele kichwani au wanafuga pia wapo wavivu wasiopenda kazi lakini hawafugi nywele kichwani
Hapo sawa mkuu.hata ukikaa kwenye kundi la watu unakuwa smartNakumbuka nilivokuwa mdogo maza alikuwa ana mind Sana akiona nimefuga kucha ya kidole kidogo.kwa Kweli haipendezi kwa mwanaume kufuga kucha kwenye nywele sijui
WAZEE WA PICHA.HIVI NDIVYO VIDOLE VINATAKIWA VIWE NADHIFU MUDA WOTEView attachment 881086
100%...kama ni povu toa tuuUnauhakika na ulichokiandika mkuu?