Mwanaume kua macho juu juu...

Mwanaume kua macho juu juu...

kwa hiyo kufanya matusi sana ujanani ndio kutumia ujana vizuri?

na ndiyo maana mkaambiwa tumieni ujana wenu vizuri//? Inawezekana wa namna hiyo hawajala ujana wao vizuri bado wanavutiwa kufanya vitu fulan ambavyo hawakufanya wakati wa ujana
 
Ndiyo, inabidi mjifunze kuchangia wanaume, angalia hili: kila mwanaume akiwa na mahusiano kimapenzi na mke/mpenzi wake tu, wanawake wengine watakosa wanaume. PLL hata huyo uliyenaeM sasa huenda ni wa mwanamke mwingine na wewe unaiba bila kujua kama kakuoa huenda ulimpokonya mwanamke mwingine bila wewe kujua, itabidi mzoee tu.
Wee hakuna kitu kama hcho kila mtu na wake hakuna mapenz ya kushare kubadilishana aina ya vidudu
 
Wanaume wamepishana, m

Kuna wale ambao they never grow up katika kutamani wanawake na kulala nao ovyo. Kuna mwanaume toka alibalehe hadi utu uzima yeye anataka kubadilisha wanawake kila siku hata kama ameoa! Na hii tabia hukuzwa na kukomaa sana hasa kama yupo vizuri sana kipesa na kwake kuwapata wanawake ni kazi ndogo.

Kuna wanaume ambao hulimbukia kulala na wanawake, toka anakuwa kaonja mwanamke anakuwa kachanganikiwa na ladha hiyo na kumfanya atape tape na wanawake wa kila namna. Hasa tokana na suala la watu kutofautiana katika ladha za mapenzi. Maana kuna watu huwa hawaendani na wanao endana upande wa faragha. Kwa wengine ikifika tu kawa mtu mzima, kaoa basi anaacha na tabia ya kutembea na wanawake ovyo.

Inabidi utambue kuwa hata mazingira, hali ya kifedha, afya ya mhusika inachangia sana katika kupepesa ama kutopepesa hayo macho.
Nashukuru umenielewesha vyema meelewa
 
Ni kutojiamini tu; anatumia kipimo cha kuwa na watu wengi kama ndio uanaume na anasahau kinachopendwa ni pesa na sio yeye. Au nimekosea Asprin?
Hapana Kaunga, hujakosea. Kama anataka kujipima uanaume wake, amtafute binti akiwa hana hela........... Oh Mmmmammmmah! Atajishangaaje?
 
Last edited by a moderator:
Wee hakuna kitu kama hcho kila mtu na wake hakuna mapenz ya kushare kubadilishana aina ya vidudu

Ok. PLL, Hutaki kuchangia mwanaume na hakuna mwanaume ambaye anampenzi mmoja tu, wewe huna mpenzi/mume? Kama unae basi lazima utakuwa unachangia na wanawake wengine. Huo ndiyo ukweli, vinginevyo utakuwa unajidanganya mwenyewe.
 
Ivi unavyosema hakuna una uhakika?tufanye ndio hakuna lakn lamsingi ni kua I am his number one....!
 
Ni kweli hawajiamini badala ya kukaa na kujenga familia yako mtu unakuta yupo busy na vimada at the end of the day vimada wana watu wao wanaowapenda , we unakuwa unatumika kurahisiha maisha yake (ya kimada_)kwa muda huo tu baadae wanasepa,

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Gender KE
Nazungumzia wanaume nawe unaweza ukazungumzia wanawake

my dear PLL zama hizi tulizomo mambo yamebadirika mno...tuko mbele ya digitali yenyewe. zamani enzi za analojia mwanaume akifikisha umri wa miaka 30+ alikuwa mtulivu na ndoa yake. siku hizi ni kawaida mwanaume wa umri 30+ kutongoza ovyo ovyo! ni kawaida kama wewe hapo kukutana na mzee wa miaka 55+ ukampa 'shikamoo' akakuangalia kwa macho ya tamaa tamaa na kukujibu 'hujambo binti'! ukimchekea chekea anakutaka kimapenzi. halafu hata nyie mabinti hiyo mivao yenu inatuwakisha tamaa. na ninyi wenyewe mnapenda kudetiwa na mababa kwa sababu eti mababa wanatoa pochi nene halafu hawagandii muda wote kama vivulana vya umri wenu!
anyway hii mada yako ina majibu yenye maelezo mapana sana kiasi kwamba nikiandika hapa itakuwa ni 'gazeti'!
 
Ivi unavyosema hakuna una uhakika?tufanye ndio hakuna lakn lamsingi ni kua I am his number one....!

hapo nimekuelewa vizuri PLL, wewe ni namba moja, unachangia na namba mbili. Huu ni wakati wa kuita kijiko kijiko. (simama na kuueleza ukweli, watakao umia au kuchukia ki-mpango wao)
 
Mbona jipya silioni hapa? Au nimevaa miwani ya kutoona? Kongosho hebu njoo nivue hii miwani tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli hawajiamini badala ya kukaa na kujenga familia yako mtu unakuta yupo busy na vimada at the end of the day vimada wana watu wao wanaowapenda , we unakuwa unatumika kurahisiha maisha yake (ya kimada_)kwa muda huo tu baadae wanasepa,

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Kwa vimada huwa tunafata starehe tu, yaani kama vile tunavyokwenda Club, tukimaliza tunarudi kwenye familia zetu, gharama tunazotumia Club au kwa vimada ni sehemu tu ya bajeti zetu za starehe, kimada anaposepa tunachukulia kama Club imefungwa, kwa hiyo tunatafuta nyingine.
 
Nipe 5...!
 
my dear PLL zama hizi tulizomo mambo yamebadirika mno...tuko mbele ya digitali yenyewe. zamani enzi za analojia mwanaume akifikisha umri wa miaka 30+ alikuwa mtulivu na ndoa yake. siku hizi ni kawaida mwanaume wa umri 30+ kutongoza ovyo ovyo! ni kawaida kama wewe hapo kukutana na mzee wa miaka 55+ ukampa 'shikamoo' akakuangalia kwa macho ya tamaa tamaa na kukujibu 'hujambo binti'! ukimchekea chekea anakutaka kimapenzi. halafu hata nyie mabinti hiyo mivao yenu inatuwakisha tamaa. na ninyi wenyewe mnapenda kudetiwa na mababa kwa sababu eti mababa wanatoa pochi nene halafu hawagandii muda wote kama vivulana vya umri wenu!
anyway hii mada yako ina majibu yenye maelezo mapana sana kiasi kwamba nikiandika hapa itakuwa ni 'gazeti'!

Umri wa mtu ni namba tu, maini hayazeeki wewe!
 
Habari zenu wana JF,nimekua nikijiuliza bila kupata jibu kamili,ivi mwanaume ambae hajatulia/anaependa kua na mahusiano zaid ya mwanamke mmoja je n tabia ya mtu au umri?kipind cha nyuma nlikua nikiamini mwanaume akifka miaka kuanzia 30 anakua ametulia na mtu mmoja since anakua amemaliza michezo yote,ila sasa napatwa na maswali since nmekutana na watu above that age wana familia kabsa lakini stil anawatu wengne nje,imebid niulize ivi machojuu juu n tabia ya mtu au umri wa mtu?
Mara nyingi tabia uliyokua nao kabla ya ndoa utaendelea kuwa nayo hata baada ya ndoa sanasana utajaribu kutafuta njia za kuficha. Usitegemee kuoa/kuolewa na malaya ukadhani ataacha kwenye umri mkubwa.
Baadhi ya wanaume malaya wanaonekana kutulia kwenye umri mkubwa kwa sababu majukumu yanakuwa yameongezeka, mfano gharama za kutunza familia zinaongezeka kwa hiyo pesa yake nyingi inaishia kwenye kutunza familia anakua hana surplus. Hapo anaonekana katulia lakini ukweli ni kwamba tabia yake imekuwa expensive na hawezi kui afford, sasa ukitaka kumtambua vizuri apate hela nyingi ya uhakika, hapo utakoma mwenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: PLL
Back
Top Bottom