Mentor .... hakuna ukweli hapo lolz, tatizo la wanaume wa type hyo wanakimbia roles zao katika nyumba zao. Wewe ni kichwa cha Nyumba... tumia akili yako kutatua mapungufu ya nyumbani mwako kukimbia kimbia hakukuondolei matatizo, sana sana unaongeza vimeo tu lol. Tengeneza mazingira bora ndani ya familia yako ili nyumba iwe na furaha na amani ukifika mda wa kwenda home uone kama unachelewa lol.. sio unatafutia solution bar au kwa kimada....!!!!! Nyumbani kwako ni kwako tu na ni MTAKUJA otherwise unataka kuvunja Familia.Kasema ukweli lakini...!
neggirl hivi kweli wakati nakutokea ulikuwa unanambia no kesho naenda gym, oh sorry nlikuwa gym ndo maana sikuona call yako...na mimi nikafurahi kujua my waifu to be anajali na kuitunza afya yake.Mentor .... hakuna ukweli hapo lolz, tatizo la wanaume wa type hyo wanakimbia roles zao katika nyumba zao. Wewe ni kichwa cha Nyumba... tumia akili yako kutatua mapungufu ya nyumbani mwako kukimbia kimbia hakukuondolei matatizo, sana sana unaongeza vimeo tu lol. Tengeneza mazingira bora ndani ya familia yako ili nyumba iwe na furaha na amani ukifika mda wa kwenda home uone kama unachelewa lol.. sio unatafutia solution bar au kwa kimada....!!!!! Nyumbani kwako ni kwako tu na ni MTAKUJA otherwise unataka kuvunja Familia.
Ishi na mkeo kwa akili.... we si ndo mume bana, na wewe si ndo ulie oa, wife ATAKUSHINDAJE. !!!!!!
(msinirushie mawe puliziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ni mtazamo wangu).
Aisee ni kweli aisee inabidi watulie tuwatafunetafune wamezidi kuwa wengi. Tena mimi ukijipitisha unachepusha chepusha vimakalio vyako lazima nikutafune tu aiseeNdiyo, inabidi mjifunze kuchangia wanaume, angalia hili: kila mwanaume akiwa na mahusiano kimapenzi na mke/mpenzi wake tu, wanawake wengine watakosa wanaume. PLL hata huyo uliyenae sasa huenda ni wa mwanamke mwingine na wewe unaiba bila kujua kama kakuoa huenda ulimpokonya mwanamke mwingine bila wewe kujua, itabidi mzoee tu.