PLL
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 882
- 400
Habari zenu wana JF,nimekua nikijiuliza bila kupata jibu kamili,ivi mwanaume ambae hajatulia/anaependa kua na mahusiano zaid ya mwanamke mmoja je n tabia ya mtu au umri?kipind cha nyuma nlikua nikiamini mwanaume akifka miaka kuanzia 30 anakua ametulia na mtu mmoja since anakua amemaliza michezo yote,ila sasa napatwa na maswali since nmekutana na watu above that age wana familia kabsa lakini stil anawatu wengne nje,imebid niulize ivi machojuu juu n tabia ya mtu au umri wa mtu?