Mwanaume mzima unaikiimbiaje familia yako na kuiaacha bila ramani yoyote ile kisa Maisha magumu!? Kuna watu humu wako na familia tu,lakini ile Bond hakuna kabisa, na hii ni hatari sana, maana mmoja akipata hata mchongo wa kutoa msukule kisa apate pesa,anakutoa faster mbona!!Huo ushauri wako mtoa mada wa kifa.la sana. Kuna shemeji yangu mmoja alikuwa anamkataza mkewe kufanya kazi yoyote, ila sasa hali ikiwa mbaya nyumbani anatafuta safari anaacha mkewe anahangaika na watoto. Baadae walikorofishana na mkewe akaenda kukaa kwenye nyumba yao nyingine, watoto wakawa wanapenda kwenda kule maana akiwa na hela kunakuwa na mapochopocho kama yote [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila siku akiishiwa hela anasafiri kimya kimya anawaacha watoto wanashangaana
Huyo baharia wazamani,hajui kuwa siku hizi hata ukikimbia lazima uwe na Ramani ya unakotoka na unakokwenda! Ndiyo maana kila vita ina Ramani!!Ndugu acha kabisaa watoto ni kitu kingine aiseee! Ni dhamana aliotupa Mungu haijalishi nitapita wapi niwaaache.
Maisha hayajawai kua magumu, sema kuna baadhi ya Wanawake ndiyo wanayafanya kua magumu sana kwa baadhi ya Wanaume kutokana na high demand zao katika social life!!Umetema madini maziti sana humu. Inapaswa huu uwe uzi unaojitegemea [emoji122][emoji122][emoji122][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha....Tatizo hao wanawake wenye aina hii ya mapenzi unaambiwa ndio walikua front line wakati wa yale mapambano ya kumng'oa nduli Idd Amin Dada na bahati mbaya wote waliangamia hakuna aliefanikiwa kurudi.
afu mwisho wa siku wanarudi jukwaani hapa kulialia ili waonewe huruma[emoji23][emoji23]imagine mtu anakushauri ukimbie familia yakoHa ha ha....
Wapo chief, Ni Wewe TU unatumia mbinu gani kuwapata.
Na bahati mbaya wa Hivi wengi huwa hamuwapendi, mmeng'ang'ana na hivyo Vigezo vyenu wasivyokua navyo[emoji4]
Ha ha ha....afu mwisho wa siku wanarudi jukwaani hapa kulialia ili waonewe huruma[emoji23][emoji23]imagine mtu anakushauri ukimbie familia yako
hakika nimeliona hiloHa ha ha....
Wanaume akili zikishashuka kichwa Cha chini kinachowazwa hata huwa hakieleweki
Kama una watoto jeKukimbia pia ni moja kati ya mbinu za kivita pindi unapoona umezidiwa,unaweza ukajiona jasiri usikimbie ukabaki ukauwawa!
Nasema hivi mwanaume pindi unapoona uchumi wako umeyumba na ikifika kipindi huwezi tena kuendesha familia yaani inafika kipindi yaani huna mishe kabisa hadi unaamua kushinda nyumbani,maana hata ukitoka ni hola utaanza kuulizwa mbona umerudi mikono mitupu!
Ikifika hatua hii ni bora kukimbia na kwenda kusikojulikana kwa usalama wa afya yako maana sonona utayoipata kwa mkeo sio poa maana itafika kipindi ataanza kutoa papuchi kwa wajuba bila hofu yeyote na atakufanyia dharau kila aina!
Hii inaweza kupelekea kupata kesi ya mauaji uende jela maisha ama ujiue wewe mwenyewe ama uteketeze familia nzima!
Kwahiyo ni bora kukimbia mapema maana yajayo yanasikitisha!
All in all mwanaume tupambane sana kuhakikisha tunakuwa na uchumi imara kutunza familia zetu kinyume na hapo hakuna upendo wala heshima kwa Mwanamke
Kama una watoto je
Mwanaume unaanzaje kukimbia changamoto?
Kukimbia na kurudi, utaishi hivyo kwa muda gani?
Ukikimbia usipopata ndiyo jumla unawatelekeza?
Nini maana ya kuwa kichwa cha familia?
Aliyesema mwanaume lazima awe nacho muda wote ni nani?
Ulioa ili muishi katika raha tu na ikifika wakati wa karaha mkimbiane?
Unaishije na mtu hawezi kuelewa kuna kupanda na kushuka katika maisha?
Unaishije na mtu anaye kuonyesha kujali wakati ukiwa nazo tu, na usipokuwa nazo hakujali? Huoni unatumika?
Unakubalije kuwa mtumwa wa mtu mwingine?
Humu kuna vijana wadogo wanaposoma thread kama hizi ile spirit ya kuwa mwanaume mwenye kuyakabili majukumu inapungua wakiamini mambo yakiwa magumu wakimbie na siyo kupambana kutafuta suluhisho.
Na SIVYO mwanaume anavyopaswa kuwa.
Uliamua kuyavulia nguo, YAOGE mzee.
Sasa ulizaa wa nini kama unawakimbia, maana hamkukubaliana uwazae so ni sharti ukomae tuSiku ukifa utazikwa na watoto wako?
Nadhani utakuwa hujamuelewa mleta uziNdugu acha kabisaa watoto ni kitu kingine aiseee! Ni dhamana aliotupa Mungu haijalishi nitapita wapi niwaaache.
Kabisaaa yaan dear..Huwa zinaisha, maisha ni kupanda na kushuka. Kuna watu walikuwa na mipesa kibao sasa hivi wapowapo tu sio kwamba walikuwa wazembe...ni maisha tu yamewachezea mchezo mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo ushauri wako mtoa mada wa kifa.la sana. Kuna shemeji yangu mmoja alikuwa anamkataza mkewe kufanya kazi yoyote, ila sasa hali ikiwa mbaya nyumbani anatafuta safari anaacha mkewe anahangaika na watoto. Baadae walikorofishana na mkewe akaenda kukaa kwenye nyumba yao nyingine, watoto wakawa wanapenda kwenda kule maana akiwa na hela kunakuwa na mapochopocho kama yote [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila siku akiishiwa hela anasafiri kimya kimya anawaacha watoto wanashangaana
Kabisa mkuuMwanaume mzima unaikiimbiaje familia yako na kuiaacha bila ramani yoyote ile kisa Maisha magumu!? Kuna watu humu wako na familia tu,lakini ile Bond hakuna kabisa, na hii ni hatari sana, maana mmoja akipata hata mchongo wa kutoa msukule kisa apate pesa,anakutoa faster mbona!!