Mwanaume kila mtandao umo!

Mwanaume kila mtandao umo!

tena mbaya zaidi ni pale unapokuta mtu amekuadd tu bila kukuuliza tena vitu vya kujadili inbox huko wao ndio wanaleta kundini...ni ku-exist tu maana hamna namna nyingine sasa

kuna makundi mpaka tuliosoma nao primary school, yaani ni shida...ila kwa wanao yatumia vizuri ni msaada but majority wanaabuse..sana
 
Mtoa mada whats ua point towards that list? Ni tatizo wanaume kujoin huko?
 
sio kweli. internet ni network of networks. kwa iyo sio mtandao mmoja. na world wide web ni moja ya huduma zinazopatikana kwenye internet ambapo iyo 3w ndio kuna tovuti izo za kijamii na zingine

Wacha porojo wewe.

Internet ni mtandao mmoja tu www.

Utawadanganya wapumbavu na malofa tu.
 
Unajuwa maana ya www?
Mkuu nimeona 1st AIDkafafanua

interconnection network of computer ..abbrvtn ni internet bila shaka. Not to be confused with the World Wide Web. The Internet is a global system of interconnected computer networks that use the Internet protocol suite (TCP/IP) to link several billion devices
worldwide. It is a network of networks then kuna WWW

The World Wide Web (www, W3) is an information space where documents and other web resources are identified by URIs, interlinked by hypertext links, and can be accessed via the Internet.

It has become known simply as the Web.

Asante kwa mchango wako mkuu nimejifunza kitu, ila mada bado iko pale pale kwa mwanaume kuwa kwenye social network zaidi ya nne we unaona imeka sawa? Anatupia picha za kila tukio la familia yake, mambo yake binafsi, ya kiofisi ambayo pengine hayana tija, n.k

Labda nyie wadada mseme, mumeo au boy friend ambaye simu yake ipo busy 24/7 kujibu kila post, kudukua umbea, ushabiki mpaka anamzidi spouse wake kwenye kuujua umbea imekaa sawa kweli?
 
Sio wanaume tu, mtu yoyote anayejitambua hawezi kuwa kila social network.


Kibaya zaidi na sipendi mwanaume kutupia tupia picha instgram, kila afanyacho anatupia picha huwa nakereka sanaaaaa, jitu halijifunzi kitu lenyewe ni kupost upumbavu tu, hizi social network tumezipokea tofauti sana.
 
Mi nipo humu kote ongeza na hi5 {tagged}. Cha ajabu hata mademu ni wale wale walioko kwenye mtandao yote. Sasa mbona unasema wanaume?
1. Instagram
2. Facebook
3. Badoo
4. JF
5. Tweeter
6. ....

Natatizika kidogo.
 
Lakini huwezi kuwa active kwenye mitandao yote hiyo wakati wote. Utakuwa active kwenye social network inayotamba wakati huo. Mfano insta, badoo, na Facebook sasa. Utakuwa active sana kwenye moja tu. Halafu hujaongelea group za whatsap!!!
 
Kibaya zaidi na sipendi mwanaume kutupia tupia picha instgram, kila afanyacho anatupia picha huwa nakereka sanaaaaa, jitu halijifunzi kitu lenyewe ni kupost upumbavu tu, hizi social network tumezipokea tofauti sana.

Yaani hakuna kitu kinachonikera kama hicho.
 
Yaani hakuna kitu kinachonikera kama hicho.

Mim nikiwa na rafiki wa hvo, nablock fasta, khaa!!!! Yaani mwanaume hata aibu hana kila asubuh anatupia picha na watu wanacomment anaona sifa tu, mfyuuuu!!!!! ni upungufu wa akili kwa kweli.
 
Back
Top Bottom