1. Instagram
2. Facebook
3. Badoo
4. JF
5. Tweeter
6. ....
Natatizika kidogo.
1. Instagram
2. Facebook
3. Badoo
4. JF
5. Tweeter
6. ....
Natatizika kidogo.
Mtandao ni mmoja tu "internet" au "world wide web", hizo zingine zote ni tovuti tofauti za kijamii.
ungeongelea kuwa na magroup mengi ya whatsapp hapo ningekuelewa ila kutumia tu social network kwa wala haina shida hata ziwe nane ilimradi tu uwe na sababu ya kufanya hivyo... sio wale ambao unakuta anaowasiliana nao jf ndio haohao mpaka insta na twitter pengine mpaka fb sasa huko ni kukosa akili..
Basically, Twitter inanipa connection na watu mbalimbali kutoka pande zote za dunia, esp wa michezo na burudani. JF inaniweka karibu na home. Insta adds style and what-not to my stigity. Pretty much.
Mtandao ni mmoja tu "internet" au "world wide web", hizo zingine zote ni tovuti tofauti za kijamii.
Kama idea ni hiyo sawa. Makundini kuna kero watu hawalali, hawafanyi kazi ni chatn tu. Mi nimeblock mengi.
sio kweli. internet ni network of networks. kwa iyo sio mtandao mmoja. na world wide web ni moja ya huduma zinazopatikana kwenye internet ambapo iyo 3w ndio kuna tovuti izo za kijamii na zingine
Mtandao ni mmoja tu "internet" au "world wide web", hizo zingine zote ni tovuti tofauti za kijamii.