Mwanaume KAMILI

Songíto;3236995 said:
mkuu ungetupa na verses za mwanamke kamili mana kila siku tunasikia mwanaume kamili au rijali!! tunaomba kibao kigeukie Beijing saizi

Zitakuja mkuu!!
 

Sawa kabisa lakini kuna lingine umelisahau ambalo mara nyingi halitamkwi hadharani lakini linasambaratisha ndoa za watu
 
Sawa kabisa lakini kuna lingine umelisahau ambalo mara nyingi halitamkwi hadharani lakini linasambaratisha ndoa za watu

Sex?
Kama ndio , hiyo ipo kwenye majukumu.
 
Dah Mungu akikupa wa hivo maisha yanakuwa matam sana
 
I feel like some is invading 'OUR' territory
No hard feeling thou

Hard feelings kati yangu na wewe? Not in this area!!

Hehehehe. . .anachangamsha tu bana. "YOUR" territory is well guarded.
 
Hahahaha so if you capitalize words you are emphasising but if I do it I'M SHOUTING? Dayyyyyym.
Hata hivyo bado nasema you absolutely can not marry me, and I can say that again and again and AGAIN.
Hahaha. . . JELOUS MUCH?Waache hao sio wenzako wewe.

haya honey. kila la kheri "mamaa wa misimamo".
what pleases me however hujajiapiza kwa jina la MUNGU - which means a lot to be people with extraordinary charm to melt aina yoyote ya "misimamo".

lizzy honey, i will come back on this space, so dont go away.
m-mbabe never fights a losing battle (even if he's nowhere near even 50% of your "mwanamume kamili" version).
 

Ohhh so you are Mr Charming ehhh?

Good luck. . . thats all I can give ya.
Alafu kuapiza kwa jina la muumba ni dhambi kwahiyo hua sifanyi kwasababu hiyo TU!
 
uanaume wako haukamilishwi na matendo ya mwanamke alie maishani mwako. mwanaume kamili anajisimami, tena wala hahitaji kumtaja mwanaume mwenzie kuwa kamponza kurudi nyumbani!
1. Umenena sawa ila mfano tukirudi wote mimi na wewe tumelewa hapo imekaaje nakuwa si mwaume kamili?
2. Na mwanaume anae kubonda mara kwa mara ukikosea huyo ni kamili, robo,au moja na nusu ?
 
Lizzy, wifi yangu!
NIMEKUPENDA BURE (i am shouting...in a good way)
Hizo ni sifa haswaa za mwanaume kamili, kama ha-fit hata kama ni baba,kaka,mpenzi,mume wangu sitajali kusema wazi mbele yake!!!
Huwa natamka 'BE THE MAN, stand up and be counted!', umekolezea ujumbe,kha!
Nafikiria zawadi ya kukupa
 
Ahsante wifi. . mi ntakupenda baada ya zawadi. . lolz

Hehehe. . sasa umewaona wanaume hapa wanavyoponda na kudai hizo ni sifa za malaika? Sijui ugumu wa kua na hayo uko wapi!!
 
lol, kweli wewe mchaga! ukumbuke zawadi ni chochote eh!

achana nao, mi nilishasema, nitafukua ulimwengu woote kumtafuta mwenye sifa, na nikimpata asifikiri ndo sifa zinaisha manake akibadilika tu i dont mind closing the chapter na kusaka ulimwengu wote. akikosekana kwa wanadamu ntaangalia hata kwa nyani porini! i will never settle for less, hehehe! leo ni leo! muambie na kakangu manake namuambiaga hizo sifa,lol
Ahsante wifi. . mi ntakupenda baada ya zawadi. . lolz

Hehehe. . sasa umewaona wanaume hapa wanavyoponda na kudai hizo ni sifa za malaika? Sijui ugumu wa kua na hayo uko wapi!!
 

Lolz. . .zawadi sio zawadi bana. Zawadi ni ile inayomfanya mpokeaji atabasamu.Hehehe

Hhhmm ngoja wenyewe wakusikie!!
 
una bahati
ningeenda kusema kwa mama(kaka)
hata uninunulie kuku

Hard feelings kati yangu na wewe? Not in this area!!

Hehehehe. . .anachangamsha tu bana. "YOUR" territory is well guarded.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…