Na news tutaangalia saa ngapi?
Kuna na magazeti ya kusoma pia. LOL.
A complete man is the one who has the understanding of the life and any field in the universe.
Hii ya kwako imekaribiana na uhalisia kwa kiasi kikubwa. Ila kuna misemo imenitoa ushamba hasa ukizingatia mimi ni born bush.
Ukinifafanulia hayo tu nitakuwa nimekuelewa vyema na unaweza ukatunga mtihani nikafaulu.
- Hivi kuuza sura ndio kufanya nini tena?
- He rules..... either by being a low key player or high key player.... Hii inataka nyama kidogo.
- Hii ya kutembelea jikoni itakuwa ngumu kidogo. Huchelewi kuambiwa unamendea house girl a.ka. beki tatu.
- "Atanifanya nijiskie I am special and Woman indeed" Hii nayo ina utata kidogo. Inabidi uongezee nyama kidogo ili walau tujue ni mambo gani yakifanyika utajisikia kuwa "special and woman in deed". Na mwanaume atajuaje unapojisikia hivyo - i.e. feedback gani atarajie?
Na news tutaangalia saa ngapi?
Kuna na magazeti ya kusoma pia. LOL.
A complete man is the one who has the understanding of the life and any field in the universe.
ni huzuni kwakweli, naona wengi wao si wanaume kamili dah.
What's your definition of kulewa?
Yangu ni kunywa pombe mpaka akili zinaruka, badala ya kufungua mlango unahangaika kuingiza ufunguo ukutani. Ukiandaliwa chakula mkono unanawa kwenye bakuli ya mboga. . .
Kama hufiki huko kote basi endelea kufurahia.
Wee.......tulia, zitapigwa humu!!!
mi sitakuwepo kushuhudia hilo tiff!!
He he hee huko sijawahi fika except this one time na tulikuwa tumelewa wote.....all in all one cant be perfect my dear
Ntajitahidi. . .Tafadhali Lizzy, kesho njoo na MWANAMKE KAMILI, nitakununulia popcorn mtoto mzuri eeh
View attachment 46357
Ha ha ha acha zirushwe ngumi, mmh, may be we can plan to go dancing
Argentine Tango???
Hii nimeipenda kwa kweli, nimepata picha the type of mwanaume wapenda.... Ulie mdiscribe yupo Perfect, In reality ni ngumu saana kumpata but wenye bahati zao wanapata, na hopefully utawa mmoja wao.....
Kwa upande wangu Mwanaume kamili ni yule ambae ananielewa ipasavo na on top of that ananijali mno hata kama hajanipenda mno! akinielewa ipasavo atajua nini nataka, wakati gani nataka hicho kitu; Atanijua tabia zangu zoote, nikiwa sad/emotional/sensitive/happy/horny/depressed - na atatafuta njia mbadala wa kunifanya niwe normal. In short on one to one... Atanifanya nijiskie I am special and Woman indeed. Atakua baba mzuri wa watoto wangu na kutimiza wajibu wake kama baba na Mume. Ana Utu kwa wanadamu woote sio tu wakaribu wake.....
Mwanaume kamili huendana na mazingira yoote, hana mtindo wa kuuza sura, wakati wa kazi ni wakati wa kazi! Wakati wa kuuza sura ni wakati wa kuuza sura! He is at home anywhere... iwe shamba, iwe kazini (ofisini), iwe kijiweni, iwe kwa wakwe, iwe nyumbani kwake na hasa kila chumba (i.e jikoni), iwe mbele ya kundi kubwa, iwe mkutano, He rules..... either by being a low key player or high key player.... Awe anajua ana madhaifu na asiwe muoga wa kuonesha hayo madhaifu (walau kwangu kama mpenzi wake). Ajue kua yeye ni mwanadamu kama wengine, ili a-appriciate wanadamu wali mzunguka regardless hali zao...
Mwanaume kamili ni yule mwanaume hata his fellow men wish to be like him.....
Mwanaume kamili ni yule anaejiamini. .
Anaelewa thamani ya mwanamke na kumthamini!
Mwanaume kamili ni yule anaefahamu majukumu yake. .
Aliye tayari kusaidia, bila kusubiri mpaka atake!
Mwanaume kamili ni yule anaejielewa. .
Anaerudi nyumbani bila ya kulewa!
Mwanaume kamili anajua muda wa kurudi nyumbani. .
Hasubiri mama na wana wakamtafute kilabuni!
Mwanaume kamili anajua anapohitajika. .
Hujitahidi 'kuwepo' hata akichoka!
Mwanaume kamili anatambua umuhimu wake katika malezi. .
Anajua kuzaa pekee hakumfanyi mzazi!
Mwanaume kamili anajitahidi kuwa mwaminifu. .
Na hamwachi mwenzie atoke bila kumsifu!
Mwanaume kamili hufikiri kabla ya kutenda. .
Hafanyi makusudi kuumiza anaowapenda!
Mwanaume kamili hutumia neno 'samahani'. .
Hana makuu na kujikweza asilani!
Mwanaume kamili hupendeka. .
Hufanya iwe rahisi kwa mwenzi kucheka!!
Hongereni "wanaume kamili" wote ndani ya JF na uraiani. Kwa niaba ya wote wanaowakubali TUNAWAPENDA SANA. . Y'all are deeply appreciated!
Mwanaume kamili ni yule anaejiamini. .
Anaelewa thamani ya mwanamke na kumthamini!
Mwanaume kamili ni yule anaefahamu majukumu yake. .
Aliye tayari kusaidia, bila kusubiri mpaka atake!
Mwanaume kamili ni yule anaejielewa. .
Anaerudi nyumbani bila ya kulewa!
Mwanaume kamili anajua muda wa kurudi nyumbani. .
Hasubiri mama na wana wakamtafute kilabuni!
Mwanaume kamili anajua anapohitajika. .
Hujitahidi 'kuwepo' hata akichoka!
Mwanaume kamili anatambua umuhimu wake katika malezi. .
Anajua kuzaa pekee hakumfanyi mzazi!
Mwanaume kamili anajitahidi kuwa mwaminifu. .
Na hamwachi mwenzie atoke bila kumsifu!
Mwanaume kamili hufikiri kabla ya kutenda. .
Hafanyi makusudi kuumiza anaowapenda!
Mwanaume kamili hutumia neno 'samahani'. .
Hana makuu na kujikweza asilani!
Mwanaume kamili hupendeka. .
Hufanya iwe rahisi kwa mwenzi kucheka!!
Hongereni "wanaume kamili" wote ndani ya JF na uraiani. Kwa niaba ya wote wanaowakubali TUNAWAPENDA SANA. . Y'all are deeply appreciated!
Eti ehhhh?
Mie najitahidi kuwa kile kinachoitwa mwanamume kamili, with reference to Lizzy na Ashadii; Kuwahi kurudi ndio inakuwa mtihani, ukichanganya na hizi foleni za Dar, siku nimewahi sana nimefika nyumbani saa mbili na nusu usiku. Hapo naongelea weekdays. Weekend najitahidi kuwa nafamilia kama sijabanwa na shughuli nyingine za kusaka mshiko
Alright then. . .
Ntaomba pale juu waandike "MALAIKA duniani"