Kwa maani ipi Tulizo?
wanaume wa dar sio wanaume kamili
nilisikia umekufa.source asprin
sasa hapo unaposti toka kuzimu au?
Hapo dingi na watu wengine wanapaswa kutambua kuwa, uanaume wako hautapungua kwa kumsaidia mke wako kazi ndogo ndogo za ndani, kama hizo kupika kuosha vyombo na vitu kama hivyo, maadam mpo ndani wenyewe.Mwanaume kamili ni yule ambaye anaweza ku-overcome mapungufu yanayoletwa na challenge za maisha ikiwa kama sacrifice kwa mpenzi wake..
Mfano mdogo wewe unapenda niende jikoni na kukusaidia kukuna nazi....baba yangu mzazi akijua basi atakuja juu na kusema kuwa umeniloga nami zumbukuku ..Lakini ukweli utabaki nimeshinda challenge hii ya kijinga kwa ajili yako.. nimechagua kukufuata wewe badala ya ushauri baba mzazi..ni mfano mdogo ambao unaweza ku-argue lakini kuna mingi...ambayo inalenga kusema kuwa yote aliyosema LizzY yanawezekana ila wanaume wengi hawana guts za kujaribu!
In short.. kila kitu kinawezekana na mwanaume kamili ni yule ambaye anaweza kufanya kile ambacho wengine wanadhani ni impossible!
:A S-coffee::A S-coffee:
Mwanamke KAMILI nasoma tu hapa!!!
Wanawake kamili siyo "WACHAFU"
teh .... mama enock salama lkn.Wanawake kamili siyo "WACHAFU"
Mwanaume kamili anajua anapohitajika. .
Hujitahidi 'kuwepo' hata akichoka!
Fafanua plse
Mwanaume kamili ni yule anaejiamini. .
Anaelewa thamani ya mwanamke na kumthamini!
Mwanaume kamili ni yule anaefahamu majukumu yake. .
Aliye tayari kusaidia, bila kusubiri mpaka atake!
!
Mwanaume kamili ni yule ambaye anaweza ku-overcome mapungufu yanayoletwa na challenge za maisha ikiwa kama sacrifice kwa mpenzi wake..
Mfano mdogo wewe unapenda niende jikoni na kukusaidia kukuna nazi....baba yangu mzazi akijua basi atakuja juu na kusema kuwa umeniloga nami zumbukuku ..Lakini ukweli utabaki nimeshinda challenge hii ya kijinga kwa ajili yako.. nimechagua kukufuata wewe badala ya ushauri baba mzazi..ni mfano mdogo ambao unaweza ku-argue lakini kuna mingi...ambayo inalenga kusema kuwa yote aliyosema LizzY yanawezekana ila wanaume wengi hawana guts za kujaribu!
In short.. kila kitu kinawezekana na mwanaume kamili ni yule ambaye anaweza kufanya kile ambacho wengine wanadhani ni impossible!
Mwanamke kamili ni lazima aelewe kua hata kama mumewe ampenda na aweza fanya lolote kwa ajili yake, kuna vitu inabidi atumie busara. ...
Hapo dingi na watu wengine wanapaswa kutambua kuwa, uanaume wako hautapungua kwa kumsaidia mke wako kazi ndogo ndogo za ndani, kama hizo kupika kuosha vyombo na vitu kama hivyo, maadam mpo ndani wenyewe.