Mwanaume KAMILI

mhhh! lizzzzzzy,
I dnt get a picture of ur hero man,,,,,,his fulls wth all...or some..or nothig...
If......not: KIUNGWANA BILA SHOCK...UMEOLEWA LIZZY?
 
I SEE , mashairi mazuri !! nashukuru kwani mi ni mmoja kati ya wao .
 
mhhh! lizzzzzzy,
I dnt get a picture of ur hero man,,,,,,his fulls wth all...or some..or nothig...
If......not: KIUNGWANA BILA SHOCK...UMEOLEWA LIZZY?

Hahahaha kiungwana bila shoku ummm hapana.
 
Mwanaume kamili lazima awe na afya nzuri, kuhimili changamoto zinazo wakabili wanaume.

Haaahaaaa! Prof Maji Marefu ameenda bungeni so wataalamu wa kuhudumia wamepungua au?
 
Ndia maana nakuzimika Ashadii!Bila shaka nawe ni mwanamke kamili!
 
safi sana kabinti kalikoficha macho umenisisimua mpaka nikataka nikurukie kuja kushtuka kumbe avatar safiiiiiiiiiiiiiiii.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…